frankgalos
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 223
- 100
- Thread starter
- #101
karibuni marafiki katika sehem nyingine ya HTML, katika sehem hii tutajifunza jinsi video invofanya kazi na zaid tutajifunza tukishajua javascript.
HTML VIDEOs
Kabla ya HTML 5,kulikuwa hakuna standard ya kuonesha video kwenye kurasa ya mtandao.
Kabla ya HTML5,video zilikua zina chezwa kupitia plug-in(kama flash) pake yake.
Kipengele cha <video> kinatoa njia iliyokuwa standard kwaajiri ya ku embed video kwenye kurasa ya mtandao.
Kipengele cha <video>
Ilikuonesha video kwenye html,tumia kipengele cha <video>
Mfano
<!DOCTYPE html>
<html>
<body>
<video width="320" height="240" controls>
<source src="movie.mp4" type="video/mp4">
<source src="movie.ogg" type="video/ogg">
Browser yako haisapoti tag ya video
</video>
</body>
</html>
http://www.jamiiforums.ml/tutorFiles/examples/26/1.html <
Attribute ya controls inaongeza controls za video, kama play,pause na volume.
Nivizuri kama utakuwa una weka width na height attributes kilamala.
Kama width na height haijawekwa, browsers hazitojua ukubwa wa video, athari yake itakuwa kurasa itabadika wakati video iki load.
Maandishi kati ya <video> na </video> yataonekana kwenye browsers ambazo hazi support kipengele cha <video>
Vipengele vingi vya <source> vinaweza kuunganisha mafaili yaliyo kuwemo sehem mbalimbali.lakini browser itatumia link moja ambayo inaitambua.
Video unaweza kuiweka kupitia njia mbalimbali mfano tuseme una website yako
Kuna ma folder kama haya videos/ images nk
Kwavideo njisi ya kuiweka unaiweka kama image vile vile.
Tuseme katika mafolder yako yapo ndani ya folder linaloitwa web/ humu kwenye web kuna faili linaloitwa index.html au .htm zote zina fanyakazi moja. Unataka faili la index lime na videos ambazo zipo kwenye faili la videos unachotakiwa kufanya katika source=”videos/faili la video .mp4 au .ogg au webm” kama lipo nje ya folder la web unachotakiwa kufanya katika source=”../internet/videos/faili ya video.mp4”. hivi vi dot viwili vina hashili au vina iambia browser kwamba hili faili halipo ndani ya folder husika kwaiyo rudi nyuma na uwende ukachukue video ilio kuwepo kwenye folder linalo itwa internet ambapo ndani yake kuna folder linalo itwa videos ndo utalikuta basi browser inakubaliana nahayo na faili linaonekana.
Njia hii inatumika hata kwenye mafaili ya kawaida na yasio ya kawaida kama stylesheets / php nk.
Autoplay
Kuifanya video iwe inaanza moja kwa moja tumia attribute ya autoplay

Autoplay haifanyi kazi kwenye vifaa kama iphone na ipad
Browser <video> support
Kwa sasa kuna formats tatu(3) za video zinazo support kipengele cha <video>.nazo ni:MP4,WebM na Ogg.
ifuatayo ni table ili uweze kuona mpangilio download faili hili
browsers
Internet explorer
Ina support
Hai support
Hai support
Firefox/mozilla
Ina support
Ina support
Ina support
chrome
Ina support
Ina support
Ina support
Safari
Ina support
Hai support
Hai support
Opera(kuanzia ya 25)
Ina support
Ina support
Ina support
Aina za media(media Types)

Format ya faili
Aina ya media
Mp4
Video/mp4
WebM
Video/webm
Ogg
Video/ogg
Unaweza kutengeneza player yako mwenyewe hiyo itakua inajumuisha , uwezo wa kuplay na kupoz na kuweka duration ya video husika.Ila kwakutumia HTML huwezi kufanya hivyo.kwaiyo tabidi ujue kitukinacho kuwezesha kufanya hivyo kwa wale wanaopenda kuwa na video streaming site.hiyo inawezekana kwa kutumia javascript kwaiyo basi tutajifunza kutengeneza vyakwetu tukijua javascript.
HTML video itaendelea tukijifunza javascript.
<file>
www.jamiiforums.ml/tutorFiles/26.docx <
Itaendelea …….
<audio> ……..