Web development for beginners in swahili

Web development for beginners in swahili

Kama wewe ni mgeni kabisa na web designing ningependekeza ujifunze WordPress kwanza utachukua only 7 days kuwa perfect katika maswala ya web designing. HTML,CSS,JavaScript, aise it will take you months or even years to be perfect.
Asa kama ujui nini maana ya html na css na invo fanyakazi utawezaje kuzijua function za php zilizokuwepo kwa wordpress utatengenezaje your onwn template ? better to know then adapting
 
Tuanze kuangalia jinsi ya kuandika nyaraka zetu za html

Unaweza kuandika nyaraka za HTML kwa kutumia Notepad au textEditor yoyote ile.

Ntatumia notepad plus plus kwa kuandikia so wewe utaweza kutumia notepad kama unatumia pc au TextEdit kwa (mac).

Kwakuanza kuandika nyaraka ya HTML tabidi ufate njia nne kwa kufungua na jinsi ya ku save file lako.

1. Fungua notepad ua TexEdit(Mac).

Kwa jinsi ya kufungua notepad kwenye windows 7.bonyeza start. Kushoto mwa screen yako.Bonyeza All programs.Bonyeza Accessories.Bonyeza Notepad.

Kama utakua ume download notepad ++ itakua kwenye dashboard yako au bonyeza start button kushoto mwascreen yako kwachini kwenye all programs utaiyona new programs na notepad++ itakuwepo hapo na utabonyeza hiyo.

Kwa windows 8 na zaid:

Fungua start screen alafu andika Notepad ++ au notepad

2. Andika mfano huu katika notepad yako:

Copy au andika.



<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<h1>Jina langu ni</h1>

<p>Naishi </p>

</body>
</html>




3. Sevu HTML page.


Kusevu faili lako la HTML katika compyuta yako.


Bonyeza file juu kushoto mwa notepad yako na kisha chagua Save as katika orodha ya notepad.


Lipe jina faili lako (index.html) au jina lolote linaloishia na .html.

Na usevu.



4. Tazama faili lako katika browser.


Unaweza kuangalia faili lako katika browser yoyote ile uipendayo.Kuangalia unaweza kulichukua faili lako katika sehem uliyo lisevu na kuli dondosha katika browser yako au una weza kubonyeza mala mbili faili lako na lika kupeleka katika browser husika.



Kwenye browser litaonekana hivi.

Jina langu ni

Naishi

Itaendelea ........

Maswali yana kubalika pale unapo shindwa.
 
sawa sawa tutaendelea kesho nazani kwaleo hapa pana kutosha kuandika na kusevu na kuli tazama
 
Kama wewe ni mgeni kabisa na web designing ningependekeza ujifunze WordPress kwanza utachukua only 7 days kuwa perfect katika maswala ya web designing. HTML,CSS,JavaScript, aise it will take you months or even years to be perfect.
Duuh! we jamaa acha kuwapa wenzako matumaini hewa.... Yaani unamshauri begginer ajifunze CMS akiwa hajui hata TAG moja ya html???
 
Huitaji kujua any tags kujua wordpress though kuna umuhimu wake, Nimesema ivyo kulingana the mode of learning here.. Si wote wateweza kumaliza hii kozi. na hata kama watamaliza.. unadhani watachukua mda gani? Lets call a spade a spade not a big spoon.
 
Ilianza hivi

<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<h1>Jina langu ni</h1>

<p>Naishi </p>

</body>
</html>


Ikaja hivi

<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<style>
body {background-color:lightgrey;}
h1 {color:blue;}
p {color:green;}
</style>

</head>
<body>

<h1>Jina langu ni</h1>
<p>Naishi.</p>

</body>
</html>


Well Tuendelee Tunaweza fika Unity is strength
 
Kuna baazi ya tag sija zitumia katika somo letu lilio pita lakni usiwe na wasiwasi tutaziaangalia kwa masomo yajayo.


Nyaraka za HTML (HTML Documents)

Nyaraka zote za html lazima zianze na uitwaji wa <!DOCTYPE html>.

Nyaraka za HTML zenyewe zina fungua na <html> na kufungwa na </html>.

Sehemu inayo onekana ni kati ya <body> na </body>.

Mfano.

<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<h1>kiongozi wa kwanza</h1>

<p>Aya ya kwanza </p>

</body>
</html>


Viongozi vya HTML / vichwa (HTML Headings).


Viongozi vya HTML vina elezewa kuanzia <h1> hadi <h6>


Mfano.


<!DOCTYPE html>

<html>

<body>


<h1>kichwa 1</h1>

<h2>kichwa 2</h2>

<h3>kichwa 3</h3>

<h4>kichwa 4</h4>

<h5>kichwa 5</h5>

<h6>kichwa 6</h6>


</body>

</html>


Viongozi vya HTML vina tofautiana kwa ukubwa wa maandishi.

Mfano.kichwa namba 1 ndio kichwa kikubwa kuliko vyote kimaandishi kikifatia namba 2 na namba 3. Vilivo baki havina utofauti sana na Aya.

Aya za HTML (HTML Paragraphs).

Aya za HTML zina elezewa na <p> tag.


Mfano.

<!DOCTYPE html>

<html>

<body>


<p>Hii ni Aya yakwanza </p>

<p>Hii ya pili.</p>

<p>Na hii ya tatu.</p>


</body>

</html>

VIUNGO VYA HTML (HTML links).

Viungo vya html vinaelezewa na <a> Tag.

Mfano.

<!DOCTYPE html>

<html>

<body>

<a href="ww.jina la site yako.com">Hii ni link</a>

</body>

</html>


Hitimisho la kiungo(LINK) au sehem inako elekea ina elezewa kwenye href Attribute (Wanampa in swahili).

Attribute(Wanampa) zinatumika kutoa taarifa za ziada kuhusu Mambo (Elements) ya HTML.


Picha za HTML(HTML images).

Picha za HTML zinaelezwa na <img> tag.

Chanzo cha faili/source file(src).Nakara za ziada (alt).Na ukubwa (width na height) zina tolewa kama Attributes.

Mfano.

<!DOCTYPE html>

<html>

<body>

<img src="jina la picha.jpg" alt="kuhusu picha au jina la site yako" width="104" height="140">

</body>

</html>


Mambo ya HTML (HTMLElements).

Nyaraka za HTML zina tengenezwa na (Elements) mambo.

Mambo ya HTML (HTML elements).

Yana andikwa na tag ya kufungua (kitambulisho cha kufungua),na tag ya kufungia(kitambulisho cha kufungia) End tag. Na Yaliyomo(Contents) katikati.

<jina la tag> Yaliyomo </jina la tag>.

Mambo(Elements) ya HTML ni kilakitu kwanzia tag ya kufungia hadi ya kufunga.

Mfano.

<p> Hii ni Aya. </p>

<P> ni tag ya kufungua na element ndani yake.yani p ndio element .Na Hii ni Aya. Ni yaliyomo(content).Na </p> ni tag ya kufungia na element ndani yake (p).

Kuna Elements zingine za HTML hazina Tag ya kumalizia </> kama <hr>,<br>

<hr> ni horizontal line na <br> ni line break.


Vipengele ndani ya vipengele (Elements contain elements)/Nested elements.

HTML elements zina weza kua nested(furushi).Maana kua Element in weza kua na element ndani yake.

Nyaraka zote za HTML zina nested HTML elements (Mambo ya HTML).

Mfano huu una elements 4 (mambo 4).

<!DOCTYPE html>

<html>

<body>


<h1>kiongozi wa kwanza</h1>

<p>Aya yangu ya kwanza.</p>


</body>

</html>


Maelezo kuhusu mfano hapo juu.

<body> element inaeleza nyaraka nzima (document body).

Inafungua na <body> inafunga na </body>.

Mambo yaliyomo ni mawili zaid.ambayo (<h1> na <p>).

<body>

<h1> kiongozi wa kwanza.</h1>
<p>Aya yangu ya kwanza.</p>

</body>


<h1> element inaeleza kiongozi au kichwa.

Inafungua na <h1> funga na </h1>.

Yaliyomo nadi ni “ kiongozi wa kwanza.”


<h1>kiongozi wa kwanza</h1>


<p> elementinaeleza Aya.

Inafungua na <p> na kufunga </p>.

Yaliyomo. “Aya yangu ya kwanza.”

<p>Aya yangu ya fungua.</p>


Usisahau tag ya kumalizia </>.

Kuna baazi ya element zita onekana vizuri hatakama umesahau </>tag.

Mfano.

<!DOCTYPE html>

<html>

<body>

<p> Aya yangu ya kwanza.

<p> Aya yangu ya pili.

</body>

</html>

Mfano juu hapo unafanyakazi katika browsers zote kwasababu tag yakufungia </>tag ina chukuliwa kama ya ziada. Yani uweke usiweke itafanyakazi tu.

Lakini usiitegemee kwasababu ina wezeza kuleta matatzo kama una taka kuipendezesha na css.kwaiyo kama uta weka langi element nyingine zilizo kuwepo chini yake zitakua na langi moja.


Element(kipengele) zisizo kua na kitu (Empty Elements).

Mambo(element) ya HTML ambayo ayana kitu yana itwa.Element zisizokuwa na kitu(Empty element).

<br> ni element tupu isio kuwa na tag ya kufunga </>(<br> inaeleza line break).

HMTL 5 elements(Mambo ya HTML 5) yana weza kufungwa ndani ya tag ya kufungulia kama ivi <br />.

HTML5 haitaji element tupu (empty element) kufungwa.Lakini kama unaitaji uthibitisho mkari (stricter validation ),au kama unataka nyaraka zako zisomwe na XML parsers tabidi uzifunge element zote za HTML.


HTML Tip: Tumia lowercase Elements.


Itaendelea ……
 
Ilianza hivi

<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<h1>Jina langu ni</h1>

<p>Naishi </p>

</body>
</html>


Ikaja hivi

<!DOCTYPE html>
<html>
<head>
<style>
body {background-color:lightgrey;}
h1 {color:blue;}
p {color:green;}
</style>

</head>
<body>

<h1>Jina langu ni</h1>
<p>Naishi.</p>

</body>
</html>


Well Tuendelee Tunaweza fika Unity is strength
mickey mimi nilikua naonelea kuwa nivizuri kuanza html kwanza wakisha fahamu ndo css ije ndani yake unavo wapeleka ivo ni wrong idea kwasababu hawajui hata inline style wala external style nini. kwaiyo nivizuri tukaenda pole pole. Asante
 
CSS ni nini?
CSS ni kifupi cha CASCANDING STYLE SHEETS.

yani ni style ambazo zinatumika kuipendezesha website kama jamii forum unavoiyona ivi haikusimama na html pekeyake imetumia css ili kuipendezesha KATIKA hii kozi kama utaendela kufatilia nitaizungumzia kiundani. Hope utafatilia.
 
Okay, Lets go on BUt i believe it would be much easier if one should learn HTML and CSS together, it makes sense
 
Okay, Lets go on BUt i believe it would be much easier if one should learn HTML and CSS together, it makes sense
Yaah ndo nnacho jaribu kufanya css itakuja endapo watajua hizi attributes elements ni nini ? I think after three days ndo ntaanza css na html pamoja
 
Back
Top Bottom