Unaitumiaje Google chrome kuplay video?Wakuu tuelimishane kuhusu web browser ni ipi iko vizuri na unapenda kuitumia kwa sababu ipi, je extensions zinazoweza kutokea kwenye hiyo browser unazipenda na kama huzipendi unachukua hatua gani kuziondoa kama huwezi tunapeana solution hapa
Mimi binafsi napenda google chrome kwenye pc yangu kwani naweza play video au movie yoyote bila kuinstall adobe flash player na pia nina uwezo wa kuitumia kama media ya vlc kuplay movie zangu vipi wewe ?
mimi pia naikubali chrome sababu waweza kudownload apps mbalimbali ktk browser hiyo ya google chromeWakuu tuelimishane kuhusu web browser ni ipi iko vizuri na unapenda kuitumia kwa sababu ipi, je extensions zinazoweza kutokea kwenye hiyo browser unazipenda na kama huzipendi unachukua hatua gani kuziondoa kama huwezi tunapeana solution hapa
Mimi binafsi napenda google chrome kwenye pc yangu kwani naweza play video au movie yoyote bila kuinstall adobe flash player na pia nina uwezo wa kuitumia kama media ya vlc kuplay movie zangu vipi wewe ?
Ndio pia unaweza kudownload application ya android ukainstall kwenye android yako unachotakiwa kufanya chomeka usb yako kwenye simu na pc alafu select mass storage kwenye android yako then kwenye pc google to play store then tafta app uipendayo install utaikuta kwenye phone yakomimi pia naikubali chrome sababu waweza kudownload apps mbalimbali ktk browser hiyo ya google chrome
okNdio pia unaweza kudownload application ya android ukainstall kwenye android yako unachotakiwa kufanya chomeka usb yako kwenye simu na pc alafu select mass storage kwenye android yako then kwenye pc google to play store then tafta app uipendayo install utaikuta kwenye phone yako
Lakini hizo extension haziwezi leta virus haraka kwenye pc alafu ukiangalia google haina aja ya hizo extension unaonaje hapo bather chiefbrowser zote kubwa zina html5 hivyo hazihitaji flash kuplay youtube sio chrome tu.
mimi binafsi browser yangu ni firefox
-inaruhusu kueka proxy haitumii system proxy kama ie na chrome
-ina extension bora zaidi kwa matumizi yangu kama downthemall, flash video downloader, youtube hd etc
-ni open source haina scandal za wizi wa data
-ina support ya project nyingi duniani kama Tor
hizo nilizokutajia hazipo kabisa chrome, na hazina virusi sababu zinatoka website ya mozilla. download manager ya chrome ni kimeo, firefox na downthemall ipo level nyengine kuna matumizi ambayo yanahusisha kumod browser basi na downthemall nayo inaathirika kitu ambacho software za nje kama idm haziwezi fanya.Lakini hizo extension haziwezi leta virus haraka kwenye pc alafu ukiangalia google haina aja ya hizo extension unaonaje hapo bather chief
Netscape Explorer
shikamoo!Netscape Explorer
You mean Netscape Navigator? Huyo babu yake Mozilla FF ila alishakufa akazikwa.Netscape Explorer
You mean Netscape Navigator? Huyo babu yake Mozilla FF ila alishakufa akazikwa.
Nina hakika wachache sana humu wametumia hiyo browser. Nakumbuka last time naitumia ilikuwa katika Solaris pamoja na zile special office package za Solaris!