Web address *Prefixes*

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
Hivi hizi zinatofauti gani hasa.

www
www2
www4
www8
http
https

jamani nahitaji tofauti ya kitaalam.
 
www - world wide web
www2, www4, www8 - hizi ni subdomains uwa wanatumia kupunguza ukubwa wa website, mara nyingi hutumiwa na tovuti kubwa kubwa


http - hyper text trnsfer protocal
https - secure version ya http
 
kashajibu c6 niongezee kidogo kwenye http uelewe

Kuna kitu kinaitwa hyper text haya ni maneno yanayodisplay mfano haya unayoyaona hapa jf.

Sasa unaposema http kirefu chake ni hyper text transfer protocal.

so hapa tunaona kumbe http ni njia ya kusafirishia hizi text.

Https ni kama http lakini hii inakua secured. Yaani inamaana hio njia inayosafirisha hyper text ina ulinzi kuliko njia ya kawaida.

Kwa kuongezea hyper text zinatengenezwa na lugha maalumu inayoutwa html (hyper text make up language)

So hapa tunapata mtiririko mzima.

-webmaster anatengeneza hyper text (maneno) kwa html na kwa kupitia http kama njia mtu wa kawaida anaona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom