We unaweza kupenda hivi?

Hakuna mapenzi ya pesa! Kwa nn sisi wanadamu tunapenda kwenda against na mambo ya asili? Wanyama wanapendana lkn hawana hata sent tano! Hata uwe na matrion penzi la dhati halinunuliwi!
 
Kweli kuna wanaume mapoyoyo..khaaaa!!!!

Afu naona wadada wapenda mteremko wanavyosapoti, lol....
 
uyo jamaa kama ana mke basi inampasa akate huo mtandao kabla hajafilisiwa!
 
chaa ajabu yee kulipa kodi au kumnunulia gari...kina papa naniliu wanaonga meli,mijumba na wanagonga siku moja moja...afu siri ya mtungi aijuae kata huwezi jua jamaa ako kadatishwa na nini
 
huo ni ujinga kabisa huo,jamaa anatimiza vibaya majukumu yake GENESIS 3
 

Na wakati wote huo wewe unachukuwa udaku uulete JF?

Huu mwingine ni uongo usioingia akilini.

Ngoja nirudi zangu jukwaa lisilokuwa na stress la Siasa, nikawape pole magwanda, jana wameumizwa vibaya sana , leo wameamka na hangover za gongo la kujiliwaza.
 

Swali je huo ni mpango wakando, mke, mchumba hawara au changu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…