We umewahi kupata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We umewahi kupata?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by La kuchumpa, Mar 11, 2012.

 1. La kuchumpa

  La kuchumpa Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Za mahangaiko ya week ndugu zangu.. Kuna ujumbe nimepata katika email yangu nimeandikiwa na mdada nisie mjua na ye hanijui anasema kwamba YEYE NI MKENYA MTOTO WA WAZIRI WA BARABARA SASA BABA AKE AMEFARIKI KWA AJALI MDA UMEPITA KIDOGO SASA ANACHOTAKA NI MIMI NIMPE ACCOUNT NAMBA YANGU ATUME FEDHA AMBAZO BABA AKE AMEZIACHA KATIKA BANK MOJA IPO HUKO BURKINA FASO NA YE YUPO HUKO ANADAI MUNGU KAMWONYESHA KWAMBA MIMI NI MTU MWAMINIFU PIA ANASEMA HAWEZI KUTUMA KWA NDUGU ZAKE KWASABABU WALISHAANZA KUGOMBANIA MALI ZAKE NA WAMESHAMNYANG'ANYA MALI KABAKIWA NA HIZO FEDHA TU... NA SIO HIYO TU NINA NYINGINE KUTOKA BBC WANASEMA WALIKUA WANASHINDANO FULANI LINAITWA BBC LOTTERY (kama sijakosea) NAO WANASEMA NIMESHINDA WALIKUA WANASHINDANISHA EMAIL..sasa ndugu zangu nyie yamewahi kuwatokea haya?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  ya mimi nimewahi kupata na nilituma details na pesa ikaingia....
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  La kuparama La Kuchumpa.

  Che chemsha bongo eee
  kutia nazi kunoga
  kama hutaki kula ee
  maungo utanoga
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  aisee tupo wengi kumbe..mimi alivyonitumia akaja na kunitembelea tukazifaidi
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  hata wangu alikuja tukaenda mbuga za wanyama, tukalala hotel ya nyota 4, tukafanya utalii kwa kutumia hot air balloon(najua wengi hawajafanya hii) na kadhalika na kadhalika.....
   
 6. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,109
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sio kirahisi hivyo

  Labda kama ni Hela za Mashetani
   
 7. La kuchumpa

  La kuchumpa Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We prete wewe haya we fanya utani tu...
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,642
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  mkuu usipotezee mda wako,hao ni watapeli wa internet,na baadaye utatapeliwa mpaka uchanganyikiwe,achana nao
   
 9. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 4,853
  Likes Received: 1,766
  Trophy Points: 280
  Mie nko kwnye foleni hapa a.t.m zimeingia jana 2,leo ni bieree mwnzo mwsho..karibun nyote,preta wakaribishe wnzie,ntakua vinywereo bar.
   
 10. La kuchumpa

  La kuchumpa Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa napotezea
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Ishanitokea we mtumie details tu atakuingizia hela,yani hao watu wapo fresh sana mie wa kwangu alikua mnigeria nilimtumia acc# akaniingizia usd 2mils na kisha akaja tz nikamtembeza sana arusha na iringa,usisite ni dili nzuri sana!!!! We search google kuhusu hizo issue za wanaigeria wanavyosaidia watu.
   
 12. Kiteitei

  Kiteitei JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 1,159
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145

  preta preta! Chunga Tutapoteza memba karibuni kwa kujinyonga!!!!
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Usijaribu ndugu manake utalia mpaka machozi yakauke. Hao ni matapeli wa mtandaoni.
   
 14. S

  SI unit JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hawa wanaitwa mail scammers (wezi wa mtandao). Hebu jiulize amejuaje wewe ni mtu mzima unaejitegemea? Amejuaje wewe una akaunt benki?
  .
  Ninachoweza kukuambia, achana nae! Hata hiyo picha aliyoweka siyo ya kwake. Huwa wanatumia picha za warembo na wanamitindo mbalimbali ambao si rahisi kuwafaham na sio picha zao halisi.
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  hakuna utani....hiyo ni kweli kabisa na hata chenchi ninayo imebaki nyingi tu.....

   
 16. La kuchumpa

  La kuchumpa Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa ila umenifuraisha kwa post zako
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,868
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  hamkuduu...?
   
 18. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,756
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mwambie atume kwa mpesa
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  hatukuduu....alikuwa jinsia yangu....
   
 20. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,275
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180

  mh...

  ..mh..hapa kuna kitu

  kwani jinsia yako hawezi kukufanya..?
   
Loading...