We ulisoma hiki kitabu?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
306568_414955805238899_534735005_n.jpg
 
daaah umenikumbusha nyuma xana mwaka 96 nikiwa darasa la 3 pale bumangi primary school, chini ya mwalimu wangu masinde...sasa ajabu hiki kitabu mwanzo mwisho ni mr. & mrs daudi, mussa na neema baaasi.
 
Mambo ya Mtakuja Village na huyo hapo ni Mr Daudi na mkewe.
Kuna kale ka wimbo:
Are you sleeping
Are you sleeping
Brother Musa
Brother musa?

Umenikumbusha mbali...Wimbo unaendelea...
Morning bells are ringing
Morning bells are ringing
Ding Dong Ding X 2
 
  • Thanks
Reactions: awp
Nimevisoma hivyo kuanzia 1991, 1992 na 1993: hiki cha musa na neema nimesoma 1993 darasa la tatu. Mwalimu wangu wa kiingereza kipindi hicho alikuwa mwalimu Mwalyanzi sasa hivi yupo shule ya msingi Mtwivila Iringa mjini. Nice to remember those days.
 
daaah umenikumbusha nyuma xana mwaka 96 nikiwa darasa la 3 pale bumangi primary school, chini ya mwalimu wangu masinde...sasa ajabu hiki kitabu mwanzo mwisho ni mr. & mrs daudi, mussa na neema baaasi.

umemsahau baraka
 
Dah... Yan enzi hizo tulivyokuwa tunasoma nilikuwa napata picha hao watu ni kweli wana exist..! Aisee nimekumbuka mbali sana enzi za kukaa chini, hakukuwa na madawati darasani..! Lol
 
nimesoma hicho kitabu std 3 96 uzuri mama yangu alikuwa ananinunulia vitabu vya kiingereza na hesabu kwa kila darasa nililoingia bac wengi walikuwa wanajikomba kwangu ili 2 muda wa kufanya maswali tuliyoachiwa niwaazime dah those days!
 
Duuh! Nakumbuka nilikuwa namzimika sana Neema! Kwa akili za utoto kipindi kile ndio najua angekuja kuwa ndio mke wangu! Nakumbuka kuna ukurasa yuko neema na mussa wamesimama nje ya nyumba na kuna ka-gari kamepaki basi ndio nikawa najiona ndio mimi niko naye na hako ka gari ndio usafiri wetu! It was those foolish days.
 
Back
Top Bottom