Umeelewaje kwani picha hiyo? Yawezekana wewe ndiyo kilazaStuxnet kawa kilaza pro max nowadays.
Huyu member kama ni ugonjwa basi sasa hali imeshakuwa critical,wewe ni mfu sasa!!
Mbona critics zote zinamtaja kama ndie baba wa maovu yote tokea enzi za utawala wake, je ali program kuchafuliwa namna hiyo?Kunasaa huwa nahisi huu mpango uko under programed na KiK"wete , jamaa anausanii wake wachinichini sana yule
Kiko wapi, mbwa mmojaDogo utoto raha eeh?
Kiko wapikwahio na wewe umekaa ukaamini ni kapten kwel
Kiko wapi... Some things are too obvious.Mna utoto mwingi sana. Na baada ya uchaguzi mrudi hapa tena na ushabiki wenu
Alitudharau sana Watanganyika huyu mshenzi.Samia, We said this Jeshi halitakutii, hadi polisi nusu yao hadi sasa hawataki kufanya kazi.
Wewe ni mjinga kiasi gani unashindwa kuomba safe passage utoke Tanzania?, achana na hawa chawa wanaoendelea kutangaza matokeo.
Kuhusu machawa wengine achana nao, hawana exempt, tumewaachia raia wa deal nao.
Samia sikia hili, itakuwa aibu tukiacha wananchi wakuchape fimbo au wakufanyie udhalilishaji mwingine.
Kuhusu Abdul, tunaomba uishi maisha yako ukiwa na uchungu na ukitambua hili "Asiyefunzwa na Mamaye, hufunzwa na ulimwengu."
View attachment 3496072
raisi wako ni samiaKiko wapi