We mzee sasa

Watoto wa siku hizi wajuaji sana kuna kitoto hapo juu kanaasema natafuta kiki nikishapata hiyo kiki nalipwa sh ngapi? 1976 namaliza STD 7 KARUMO PRIMARY SCHOOL MWANZA
Basi mkuu naomba nisamehe yaishe[emoji119][emoji119]
 
Hana lolote anatafuta kiki tu..samahani lakini[emoji125] [emoji125]
Kumbe humu watu mnafahamiana eeehhh........[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapa jf ukileta mjadala wa kuku wataachana na kuku wataanza kujadili twiga, huyu kaleta mjadala wa staili ya unyoshaji shati wameachana na shati wamehamia kwenye pasi
Ukichukulia kila jambo too serious humu Jr......... Ipo siku utaumia aise.....
 
Kumbe humu watu mnafahamiana eeehhh........[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu simfahamu kabisa
 
Watoto wa siku hizi wajuaji sana kuna kitoto hapo juu kanaasema natafuta kiki nikishapata hiyo kiki nalipwa sh ngapi? 1976 namaliza STD 7 KARUMO PRIMARY SCHOOL MWANZA
Duh , kama shkamoo, hongera zako mkuu
 
Watu tunaoga siku ya ppr tuu...
Sa izo pasi dadeki
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.... Enzi hizo nilikua Tabora darasa la sita pale Mihayo S/M, kabla haija badilishwa kuwa Secondary na kisha Primary ikahamishiwa Isevya
 
Hebu ngoja kwanza 76 ndio umemaliza std 7? hmu ndani inabidi tuongee kwa heshma co kuropokaropoka tu kuna watu nyuma ya keyboard asee!
Wenzio ndo tunamaliza F. 4 hapo.
 
na

na ukumbuke wakati huo watu wanaanza shule wakiwa na miaka 10
Zaidi ya kumi mtu akijikisikia anakwenda kujiandikisha huyo mwalimu mwenyewe anaogopa kumpiga mwanafunzi wake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…