Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
- Thread starter
-
- #21
Umeona eee?Hapa jf ukileta mjadala wa kuku wataachana na kuku wataanza kujadili twiga, huyu kaleta mjadala wa staili ya unyoshaji shati wameachana na shati wamehamia kwenye pasi
Hadi nimeogopa aseee!na
na ukumbuke wakati huo watu wanaanza shule wakiwa na miaka 10
Daah Blue..hivi bado ipo?Mimi nilikutia usela wa kuweka shati Blue, hadi soksi nilikuwa nazitia Blue
Ipo mkuu, wewe iulizie tu dukaniDaah Blue..hivi bado ipo?
Andika uzuri kuwa tulikuwa tunaweka mchagoni tumetoka mbali jamani.Boarding school tulipanga foleni kwa pasi hii J'mosi na J2, ukiona wanakuzingua sana unakunja skirt unaweka marinda vizuri unalalia chini ya godoro, asubuhi kama inatoka kwa dry cleaner.
Kuna connection kati ya hilo shati na pasi.Hapa jf ukileta mjadala wa kuku wataachana na kuku wataanza kujadili twiga, huyu kaleta mjadala wa staili ya unyoshaji shati wameachana na shati wamehamia kwenye pasi
Ila siku hizi watu hawairumiiIpo mkuu, wewe iulizie tu dukani
Ko=korogwe girlsBoys swala la pass halikutupa shida saana .labda siku tuna ugeni wa KO au MZD.
Yeah, ila nimeona baadhi ma washkaji wanaweka kwenye majeans yao yanayochujaIla siku hizi watu hawairumii
na
na ukumbuke wakati huo watu wanaanza shule wakiwa na miaka 10
Sasa unyooshaji huo bila pasi unawezekana vipi? Ukizungumzia mayai lazima na kuku ahusike.Hapa jf ukileta mjadala wa kuku wataachana na kuku wataanza kujadili twiga, huyu kaleta mjadala wa staili ya unyoshaji shati wameachana na shati wamehamia kwenye pasi
Wow.. ila huu mtindo umekufa baada ya kuja haya mashati meupe sana wenyewe (tomato)Yeah, ila nimeona baadhi ma washkaji wanaweka kwenye majeans yao yanayochuja
Yeah, hata soksi za pundamilia sizioni skuhiziWow.. ila huu mtindo umekufa baada ya kuja haya mashati meupe sana wenyewe (tomato)