We Mwanaume Acha Ujinga..!!!

We Mwanaume Acha Ujinga..!!!

Ila hata waliooa wako hivo....anachat na wengine kwa mkewe yupo busy. Hawakumbuki kuwa yeye anavochat na wengine na kuacha kujibu msg za mkewe ndo na wengine wanachat naye mwishowe...mzaha mzaha.....
 
Wapo wanaochati na mabwana zao wakiwa kifuani kwa mchepuko.

Sasa jiaminishe kuwa kuchat ndio ishara ya upendo wa dhati.
 
Wapo wanaochati na mabwana zao wakiwa kifuani kwa mchepuko.

Sasa jiaminishe kuwa kuchat ndio ishara ya upendo wa dhati.
Askwambie mtu, Muda ndio kilakitu katika mapenzi,
Kama mpenzi uliyenaye hatafuti muda wa kuutumia kwaajili yako basi huyo hakupendi,
kweli nakwambia
 
Back
Top Bottom