STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Demu wako anakutumia Meseji kwa upendo kabisa
wala hutikisiki kumjibu,
au umemjibu meseji mbili ili
kumridhisha aache usumbufu ukamwambia uko
Bize..anatamani aendelee kuchat na wewe mara kwa
mara kwasababu anakupenda lakini umemuwekea
Barriers..
Umeweka Ukuta... Unaona Ujanja
madai yako...Unamwambia Mpenzi wako uko bize ili aache
kukusumbua kumbe wewe uko Bize unachat na
Wanawake wengine Freely...SUBIRI UTAONA
Akitaka kukuona Muspend Weekend pamoja ili
kuendelea kujenga ukaribu unamjia na visingizio, Mara
Mama kaniita Home...Mara Baba kanituma kwa shangazi Mbagala..Mara sijisikii vizuri ntalala tu
nimechoka leo..Mara Sina hela sitoki..Ilimradi
umkwepe usiwe nae, kumbe hujatumwa kwa
Shangazi wala mama hajakuita, unajiiba unapeleka
zawadi za Maua kwa mdada mwingine huku
umemuacha Mpenzi wako kajikunyata Home kaboreka. Hujui tu Mpenzi wako amekataa Mialiko
mingapi ya Vibolo-Dinda ili awe na wewe, Mwanaume
anayempenda!
WE MWANAUME ACHA UJINGA!Unahangaika kuweka
Bati Nyumba ya Jirani wakati Nyumba yako
umeezekea Makuti na Inavuja, Hiyo akili au matope?? Charity Begins At Home...Pendeni mnakopendwa
vijana,We jifanye mjanja sasa, ipo siku atachoka halafu
siku moja utakuta Masela wajanja wamemgeuza
demu wako Tiger Woods wanashindana kutumbukiza
Mpira wa Golf tunduni..SUBIRI UTAONA!