Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Kuna hili tangazo la redioni kutoka hawa jamaa wa championi kuhusu kichagizo cha mawasiliano miongoni mwa wanandoa huwa linanifurahisha sana. Hata hivyo, kuna angalizo nimegundua kuwa yule mama kwenye lile tangazo alikuwa na kasi ya ajabu katika kuongea ukilinganisha na mumewe. Hivi hii ina maana kuwa wanawake kwenye mabishano huwa wengi wa maneno kuliko wanaume??!!!!:crazy::crazy: