We miss you Mkapa

Naweza kuelewa kwa nini mtu/watu waseme wana-miss Mkapa. Wakati wake you felt there was somebody making decision (for better for worse), sasa hivi ni vigumu sana kujuwa kama kuna kiongozi (hata wa kata). In all honesty, I cannot imagine wauza mafuta wanagoma kwa siku tatu huku wengine wakiipa serikali muda kubadilisha uamuzi wake?

Nina hakika hapo alipokaa (Mkapa) atakuwa anaimba -and I did it myyyyyyy waaaaaay!
wengine mnajua kufikilia sana! NAONA KUKUPA LIKE HAITOSHI VERY NICE MKUU! HII NDO SABABU PEKEEEEE!
 
alifanya madudu lakini alikuwa kiongozi mwenye maamuzi magumu na watendaji wake walimwogopa hasa wasinge fanya madudu kama ya awamu hii serikali bubu inapewa masaa 24 na muhindi na inakaaa kimya!!
 
Back
Top Bottom