We miss you Mkapa

We miss you Mkapa

JK product ya UDSM nasikia,dah bonge la noma hata kuvua gamba hawezi ana laana ya wale wazee wa jumuia ya afrika mashariki waliovua nguo kudai stahili zao
 
wakati wa mkapa mlisema bora mwinyi leo jk mnasema bora mkapa watanzania kazi ipo
 
Naweza kuelewa kwa nini mtu/watu waseme wana-miss Mkapa. Wakati wake you felt there was somebody making decision (for better for worse), sasa hivi ni vigumu sana kujuwa kama kuna kiongozi (hata wa kata). In all honesty, I cannot imagine wauza mafuta wanagoma kwa siku tatu huku wengine wakiipa serikali muda kubadilisha uamuzi wake?

Nina hakika hapo alipokaa (Mkapa) atakuwa anaimba -and I did it myyyyyyy waaaaaay!
 
Huyu muuza sura tu, anachekacheka ovyo, mpaka kwenye misiba ye haonyeshi majonzi, no serious.......!
Kigoma leo siku ya tano hakuna umeme, tanesco wanasema hawana mafuta, uchumi wa nchi unadorora,
Ye kiguu na njia, safari za nje haziishi. lo! tuna kazi!!! mpaka 2015? tushaota magamba. Naona katulia hizi siku 2.
labda kweli paspot imejaa au swaum kali.....?
 
Kwa imani yangu huyu jamaa angekuwepo madarakani hawa jamaa wa mafuta wangeona Tanzania chungu...AKITOKA NYERERE KWA MAAMUZI ANAFUATA MKAPA anakuja Mwinyi kwa kuuza loliondo kwa waarabu, then ndugu yetu kikwete kwa kuwaleta brazili Tanzagiza. kiongozi ni mtu wa namna gani?ni mtu mwenye maamuzi madhubuti wakati wa shida na matatizo.

Duh! Huyu si ndiye alituingiza mkenge kwa kuiuza NBC kwa bei ya kutupa ya shilingi 15 milioni mnaijua wale wasouth africa waliiuza kiasi gani kwa Barclays bank?, pia akatuingiza mkenge katika ununuzi wa rada ambapo wahusika mbali mbali na yeye akiwemo waligawana mabilioni ya walipa kodi wa Tanzania, pia alihusika na wizi wa Kiwira Coal Mining iliyokuwa na thamani ya shilingi bilioni 7 akajiuzia kwa kudai ina thamani ya shilingi milioni 700 na kisha kulipa shilingi milioni 70 tu!, huyu si alihusika na kupora nyumba za Serikali kwa kuuziana kwa bei ya kutupa na hii imesababisha Serikali kuingia hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 200 kwa kuwaweka maofisa wa juu na familia zao kwenye hoteli za bei mbaya, huyu si alihusika kuwaingiza Net Group Solution na mtutu wa bunduki ili kuchukua management positions pale TANESCO na kuwalipa mabilioni pamoja na kuwa hawakujua chochote kuhusu umeme. Huyu si alikuwepo madarakani wakati $133 millioni za EPA zilipokwapuliwa pale BOT, huyu si alihusika na kasha ya kununua ndege ya Rais, helicopters na magari ya jeshi ambako kulikuwa na ufisadi wa kutisha, huyu alihusika pia na kusaini mkiataba ya kuchimba madini dhatabu yetu na yeye aliona Watanzania kupata mrahaba wa 3% na kuwaachia "wachukuaji" 97% tena bila kulipa kodi ni sawa kabisa n.k. Mtu kama huyu aliyefanya madudu kama haya anastahili kukumbukwa kweli!? huyu si alitutukana Watanzania kwamba tuna wivu wa kike kumbe ni Mwizi tu? Miaka sita sasa toka amalize awamu yake ni lini atajibu tuhuma mbali mbali alizozifanya akiwa madarakani?

Kwa nchi zinazojali utawala wa sheria huyu alistahili kuwa lupango tena amefilisiwa lakini si kwa nchi yetu ambapo ni pepo ya mafisadi hata wakwapue kiasi kikubwa namna gani bado wanapeta tu mtaani.
 
Ninaamini milele na milele haita tokea rais na serikali legelege kama hii ya Jk na itaicost Tz miaka mingi sana ijayo
 
Jamani pamoja na mapungufu yake Mkapa alikuwa na maamuzi na alifahamu nguvu na umuhimu wa urais na hata kama ni vibaya ALIOGOPWA!
 
Kiongozi anapoamua kuiba huo ni WIZI . Kama tungeweza kuquantify hasara ambayo Mkapa ameliingizia Taifa kwa madudu mbali mbali aliyofanya ikiwemo kuuza mashirika yetu mbali mbali kiholela basi si ajabu hasara ambayo Taifa limeingia ni zaidi ya shilingi Trillioni mbili. Kwangu mimi hakuna aliye na afadhali kati ya Mkapa na Kikwete wote ni mabomu.
 
Wengi hapa you are missing the point,swali ni enzi za Mkapa wachuuzi wa petroli/dizeli wangegoma na wengine kuipa SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANI(jamhuri) masaa 24 ? hiyo ndio POINT! jibu ndio au hapana.

Mazuri na mabaya ya Mkapa tumeyajadili kwa kirefu kwa muda mrefu hapa.
 
Kwa imani yangu huyu jamaa angekuwepo madarakani hawa jamaa wa mafuta wangeona Tanzania chungu...AKITOKA NYERERE KWA MAAMUZI ANAFUATA MKAPA anakuja Mwinyi kwa kuuza loliondo kwa waarabu, then ndugu yetu kikwete kwa kuwaleta brazili Tanzagiza. kiongozi ni mtu wa namna gani?ni mtu mwenye maamuzi madhubuti wakati wa shida na matatizo.
<br />
<br />
pumba tupu!!
 
kipindi cha mkapa wafanyakazi walikuwa na hadhi kweli,mfumuko wa bei ulikuwa chini sana,pamoja na mapungufu yake,personnally i miss u mkapa!
 
Duh! Huyu si ndiye alituingiza mkenge kwa kuiuza NBC kwa bei ya kutupa ya shilingi 15 milioni mnaijua wale wasouth africa waliiuza kiasi gani kwa Barclays bank?, pia akatuingiza mkenge katika ununuzi wa rada ambapo wahusika mbali mbali na yeye akiwemo waligawana mabilioni ya walipa kodi wa Tanzania, pia alihusika na wizi wa Kiwira Coal Mining iliyokuwa na thamani ya shilingi bilioni 7 akajiuzia kwa kudai ina thamani ya shilingi milioni 700 na kisha kulipa shilingi milioni 70 tu!, huyu si alihusika na kupora nyumba za Serikali kwa kuuziana kwa bei ya kutupa na hii imesababisha Serikali kuingia hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 200 kwa kuwaweka maofisa wa juu na familia zao kwenye hoteli za bei mbaya, huyu si alihusika kuwaingiza Net Group Solution na mtutu wa bunduki ili kuchukua management positions pale TANESCO na kuwalipa mabilioni pamoja na kuwa hawakujua chochote kuhusu umeme. Huyu si alikuwepo madarakani wakati $133 millioni za EPA zilipokwapuliwa pale BOT, huyu si alihusika na kasha ya kununua ndege ya Rais, helicopters na magari ya jeshi ambako kulikuwa na ufisadi wa kutisha, huyu alihusika pia na kusaini mkiataba ya kuchimba madini dhatabu yetu na yeye aliona Watanzania kupata mrahaba wa 3% na kuwaachia "wachukuaji" 97% tena bila kulipa kodi ni sawa kabisa n.k. Mtu kama huyu aliyefanya madudu kama haya anastahili kukumbukwa kweli!? huyu si alitutukana Watanzania kwamba tuna wivu wa kike kumbe ni Mwizi tu? Miaka sita sasa toka amalize awamu yake ni lini atajibu tuhuma mbali mbali alizozifanya akiwa madarakani?

Kwa nchi zinazojali utawala wa sheria huyu alistahili kuwa lupango tena amefilisiwa lakini si kwa nchi yetu ambapo ni pepo ya mafisadi hata wakwapue kiasi kikubwa namna gani bado wanapeta tu mtaani.

Mkuu umenikumbusha machungu ya NBC, yaani nikikumbuka ilivyokua napata uchungu kabisa
 
Kumbukeni wakati wa mkapa mafisadi ndio walijificha

kipindi cha mkapa alitajirisha watu wachache mno

shukran ziende kwa jakaya!! katika kipindi chake mafisadi woote walianikwa wazi... aliwapa uhuru watu kufanya uchunguzi na kutangaza hadharani fullani ni fisadi

kama mkapa angekuwa madarakani leo hii skendo zote zingeingizwa kapuni...



hiyo red ni kazi ya Dr SLAA na siyo msaniiiiii
 
kweli namkumba sana mkapa-bora hata angekuwepo yeye kama kiongozi-kuliko huyu aliepo sasa-huyo wa sasa anakotupeleka siko kabsa
 
kwa ujumuisho kila mtu anamawazo na mtazamo wake...hata kama mkapa alikuwa na mapungufu yake laki9ni alikuwa na maamuzi huyu jamaa wetu tuamkumbuka na nini...serious wakuu
 


umeona mkuu... anahitaji afanye marekebisho heading yake ... aweke UMOJA na SI WINGI
heading ipo sahihi kabisa kwasababu tupo na mimi nammiss pia mkapa!
 
Back
Top Bottom