We kama hunipendi poa


M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
155
Likes
2
Points
0
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined Apr 14, 2013
155 2 0
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo ila mimi nitabaki kuwa mimi ktk maisha haya
 
kibella24

kibella24

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
677
Likes
7
Points
35
kibella24

kibella24

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
677 7 35
pole sn km yamekukuta mwanawane!!
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
420
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 420 180
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo ila mimi nitabaki kuwa mimi ktk maisha haya
kulikoni ndugu?
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,676
Likes
2,790
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,676 2,790 280
Kumbe umepigwa kibuti huko. Pole mwaya. Ukikua utaelewa una bahati kiasi gani kudenguliwa. Acha akasake dressing table imuwowe.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,002
Likes
6,456
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,002 6,456 280
pole yako......
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,825
Likes
3,156
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,825 3,156 280
Like toy soldier..........
 
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
8,762
Likes
64
Points
0
Lady doctor

Lady doctor

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2013
8,762 64 0
Hahahaaa....! Kumbe yamekukuta.... Pole mwaya.
 
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
155
Likes
2
Points
0
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined Apr 14, 2013
155 2 0
kumbe umepigwa kibuti huko. Pole mwaya. Ukikua utaelewa una bahati kiasi gani kudenguliwa. Acha akasake dressing table imuwowe.
aagh haiko ivyo kuna baadhi ya wa2 wanakuchukia pasipo 7bu maalumu kwan nn m2 awe hivyo ikiwa hujamkosea
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,208
Likes
2,353
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,208 2,353 280
Mkuu Mtambuzi, huyu naye hajiamini au?
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo ila mimi nitabaki kuwa mimi ktk maisha haya
 
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
155
Likes
2
Points
0
M

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined Apr 14, 2013
155 2 0
watu wanakuchukia kutokana na mambo yako ya hovyo kama unavyoandika kijinga hivyo_...you take it from me.
mh maneno hayooo cc ndo wabongo kama nilie bati au hujanisoma nikupeleke chuo cha kitaa
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,142
Likes
5,639
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,142 5,639 280
you again......,
ni yule aliekudump na kudump na kukuchezea kama paka alieshiba
xaxa xi naxikia amepata wa kumuwowa
 
mdida

mdida

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
1,607
Likes
78
Points
145
mdida

mdida

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2011
1,607 78 145
pole ndugu, angalia maisha yako mbona unapoteza muda mambo ambayo hatakusaidia maishani? time is money.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,848
Likes
3,622
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,848 3,622 280
Ujinga nadhani umepata mnenaji
 

Forum statistics

Threads 1,272,596
Members 490,036
Posts 30,454,659