Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.
Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.
Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.
Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.
Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.
Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.
We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.
Amu
Mwambie akipata ujumbe huu aminye tu kitufe cha LIKE hapo juu mie karoho kataridhika
zali la mentali hilo...
"Da! Lilikuwa zali la mentali hili, sijui kwanini nilibadili avatar"
Mkuu, umefanya vema sana ila ungemtumia PM tu ingekuwa heri zaidi.
Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.
Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.
Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.
Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.
Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.
Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.
We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.
Ni kama sijaelewa kitu hapa.
Hahahaa mbavu zangu,Wewe mwenyewe mzuri..??? Unalipa...??? Usije ukamfanya mtu ajione amedharauliwa...
Mkuu nadhani haya ni mapinduzi halisi ya kizazi hiki, tia maji manake kesho mwingine anaweza kukufungukia.Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.
Humu ndani kuna kitu
kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu
unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments
zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu
zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa
wengine humu ndani.