We humjui baba yangu

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Mwalimu alimwuliza mwanafunzi kumjaribu uwezo wake wa hesabu.
Mwalimu: Ukiwa na shilingi 5,000 na ukawambia baba yako akupe shilingi 5,000, utakuwa na shilingi ngapi?
Mwanafunzi: Shilingi sifuri
Mwalimu: Hebu fikiri kidogo, una shs 5000, umwombe baba yako 5000, utakuwa na ngapi?
Mwanafunzi: Sitakuwa na shilingi hata moja.
Mwalimu: Kwa nini?
Mwanafunzi: Wewe humjui baba yangu.
 
hahahaa, inaonyesha baba hatoboki hata mia sembuse buku tano?
 

hahahaha...watoto wa kipare bana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…