Tuwaseme JF-Expert Member Oct 8, 2014 645 1,191 Mar 8, 2017 #1 *Mke wako anarudi nyumbani kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia, we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.* *Shauri yako we endelea kubweka tu"
*Mke wako anarudi nyumbani kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia, we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.* *Shauri yako we endelea kubweka tu"
P potwemakunge Senior Member Feb 14, 2013 170 53 Mar 9, 2017 #3 maneno kuntu, wenye macho na waone, wenye masikio waweke pamba
P potwemakunge Senior Member Feb 14, 2013 170 53 Mar 9, 2017 #4 Mkuu waseme "unajeruhi" mtu au "unajeruhiwa"?