We Dada kama umo humu asante sana

We Dada kama umo humu asante sana

Sabuni ya rungu inakutosha.

Cha ajabu nina passport imebakisha mwezi mmoja iishe muda wake na haija wahi kugongwa muhuri hata mmoja.

Passport ikibakisha mwezi mmoja labda kama anataka visa ya kwenda Uganda au Congo..kama ni huko mbelez sidhani..
 
Passport ikibakisha mwezi mmoja labda kama anataka visa ya kwenda Uganda au Congo..kama ni huko mbelez sidhani..

Duuh kuna mambo humu.... never boring kwakweli.
 
Naona unamtengenezea mazingira....hahah, ukishamshukuru leta mrejesho
 
Nilimshukuru na nilimpa kifuta jasho lakini nikilinganisha na umuhimu ule naona haijatosha shukrani ile ndo mana nimeandika hapa.

Ya moyoni hayo na unayako mengine ya kiunoni tu wewe...Mrejesho tafadhali.
 
Sabuni ya rungu inakutosha.

Cha ajabu nina passport imebakisha mwezi mmoja iishe muda wake na haija wahi kugongwa muhuri hata mmoja.

Sabuni ya rungu inamtosha....rungu ipi,ya nyama au?
 
Lakini mpaka aje humu atangaze wajameni. Si angeenda pale alipomkuta anamsubiri na ppt akaendeeleze shukrani

Huwezi jua. Labda ataenda na huu uzi pale benki amwoneshee (teh teh teh )
 
Nakupimia tu unashukuru wengine mm hujawai kunishukuru nilichokusaidia. Embu nisubiri wenda mda wangu bado.
 
Back
Top Bottom