mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 658
- Thread starter
-
- #121
mwananthropolojia ,unashangaza sana
'
Unahusishaje mambo mawili yasiyohusiana?
'
Nimekueleza kwa uwazi kuhusu tatizo lako la kubagua maandiko,huelewi
'
If you believe that there is a "contradiction" in the bible,you put whole bible in jeopard
'
Maneno ya Yesu kutokuhubiri injili kwa mataifa,halafu mwishoni kuwaagiza waende ulimwenguni ni kujikinza kwa mujibu wako,sasa unawezaje kuniambia kuwa hakuna kujikinza kwingine kwenye biblia?
'
Utakua na kazi kubwa sana kututhibitishia ni maandiko yapi ni sahihi na yapi sio sahihi na itabidi utuambie umetumia kipimo gani kuyabagua maandiko hayo
'
Halafu ni wapi nimesema Yesu amehubiri injili kwa mataifa?Acha kusema uongo
'
Nakushauri Either uikatae biblia yote au uikubali yote
'
Kama utaendelea na mtindo huu mjadala huu utakua mgumu sana
'
Utakua mgumu kwa kuwa ninapokupa ushahidi unasema ni fabrication,sasa tutafika kweli?
ok we unaonaje tukubali biblia nzima ni kweli hata kama tunaona contradictions au tuikatae kutokana na mambo yanayokinzana ndani ya kitabu na kutuchanganya?
huku tukijarib kwa nguvu zote kutafuta kamstari kamoja kamoja ili kujiridhisha kwamba na sisi wa mataifa, Mungu wa Israel hajatusahau
maana najaribu kutafuta nabii au mtume asiye mwisrael kwenye kitabu hata la agano jipya na bado sijampata ,sasa najiuliza hivi Mungu wa Israel ni wetu kweli? au tuwathibitishe akina mwingira kama manabii ili turidhishe nafsi zetu?
mwananthropolojia ,
Inaonekana nazungumza lugha ngumu sana,jambo ambalo hunielewi
'
Ni kwamba,wewe unadai Yesu hakuja kwaajili ya ulimwengu bali kwa Waisraeli tu
'
Fahamu kuwa Yesu anapatikana kwenye Biblia TU,hakuna kitabu kingine kinachomzungumzia mtu aitwae Yesu,hivyo nilazima pale tutakapokua tunajadili kama ni kweli Yesu alikuja kwa Waisraeli au duniani ni lazima tuitumie Biblia kama back up
'
Kama tunakubaliana hilo ni lazima tukubaliane kwanza kama hiyo Biblia ni sahihi
'
Hili hatujakubaliana na inaonekana wewe una mashaka nayo
'
Kwa mujibu wa Biblia yenyewe,aliezungumza toka Mwanzo mpaka Ufunuo ni Mungu yuleyule,hii inamaana kama hukubaliani na sehemu moja tayari umemtilia mashaka Mungu wa kwenye Biblia na Biblia yenyewe
'
Kama umeitilia mashaka Biblia hata huyo Yesu unaetaka tumjadili anakua na mashaka na hata uwepo wake unauweka mashakani
'
Unakua mashakani kwa kuwa,kama watu wameweza kuifabricate baadhi ya sehemu wameshindwaje kuedit Biblia nzima?
'
Je huyo Yesu sio wa kutunga?Maana hakuna mahali anapatikana tofauti na kwenye biblia
'
Kwanini hiyo mistari unayodai inasema Yesu ni kwaajili ya Israeli tu isiwe ya fake?
'
Au huyo Yesu wako sio wa kwenye Biblia?
'
Hizo quote zako kutoka kwenye Biblia sio "vimistari"
'
Kama unaonadhani Biblia ina contradictios,haifai kutumiwa na yeyote kati yetu mimi na wewe kama back up kwa sababu tayari umeonesha mashaka na ushahidi wako mwenyewe
'
Ndugu yangu unajicontradict!
Mourinho,
Fikara huru ni nini?
Eiyer naona umechanganyikiwa kwani nimekupa vitabu vinavyosimulia kuhusu yesu,umebaki kuukana ukweli ingawa
naona una streess sana sahiz baada ya kuugundua ukweli,ni mambo ya kawaida ila utaamua mwenyewe uambatane na ukweli au ubaki kwenye uongo na dunia isiyokuhusu ukitegemea kwenda mbinguni sijui au kwenda kukaa nje ya hekalu la bwana kwenye behewa maana wewe sio myahudi ufunuo 11;2
Nimefutilia mabishano yenu,ni mazur maana wote mnapointi tena za msingi,ila muelewane kisha nasi tuanze kuchangiaaana zumekaa pembeni baada ya kuona mnabishanaNi kama story ya Plato ya Allegory of the Cave, ukweli mchungu kuumeza, wapo wanaoona bora kuendelea na mapokeo hata kama wanamashaka nayo, kwa sababu ukweli unauma, ukweli unawatoa out of their comfort zone.
Sasa siku akija kujua kuwa hata hiyo the so called "the holy book" jamaa waliichakachua, sijui atapatwa na wazimu au ataendela kubishana na ukweli?
"Ukiijua kweli, nayo kweli itakuweka huru"
Nimefutilia mabishano yenu,ni mazur maana wote mnapointi tena za msingi,ila muelewane kisha nasi tuanze kuchangiaaana zumekaa pembeni baada ya kuona mnabishana
kuwa binadamu
tunajua kuna pia kufanya makosa. lakini tuangalie nafasi zao katika
jamii! kama hao walikuwa watu wa mungu kweli, basi walikua wanaongozwa
na roho mtakatifu,na maamuzi yoyote yalikua yasifanyike bila kumconsult
roho mtakatifu.na kama walikua wakimconsult roho mtakatifu haiwezekani
wakakosea kwenye kutoa maagizo ya kiroho unless otherwise roho mtakatifu
hakua nao kwaiyo walikua wakifanya maamuzi bila kumconsult roho
mtakatifu.hii kupingana na kutoa maamuzi tofauti yaonyesha kabisa
walikua wakiongozwa na utashi wao na si wa Mungu
suala la Mungu kutugeuka si kweli! ni kama nilivyosema wanaisrael wana
Mungu wao na sisi pia tuna Mungu wetu,na Mungu wa Israel hajishughulishi
na sisi,akijishughulisha na sisi, lengo litakua kututawala na kuwafanya
watu wake waisrael wawe juu ya watu wengine wote.nadhani unafaham vita
walivyozipiga na miungu na jamii zingine ili kuweza kutwaa maeneo na
kuwatumikisha
maandiko ya biblia yana mafundisho mengi,kwetu inaweza kutumiwa kama
reference book kati ya vitabu vingi,ila usife moyo kwani na sisi tuna
Mungu wetu ambae nae anatenda miujiza na anasikiliza matatizo
yetu.jaribu kuzunguka maeneo mbalimbali ya Tz kuna maeneo ya maombi na
watu wanaenda wanatatuliwa matatizo yao bila kupitia kwa Mungu waisrael.
tofauti kati yetu na wao ni kwamba sisi hatujawahi andika vitabu kuhusu
Mungu wetu ila yupo hai
Ni kama story ya Plato ya Allegory of the Cave, ukweli mchungu kuumeza, wapo wanaoona bora kuendelea na mapokeo hata kama wanamashaka nayo, kwa sababu ukweli unauma, ukweli unawatoa out of their comfort zone.
Sasa siku akija kujua kuwa hata hiyo the so called "the holy book" jamaa waliichakachua, sijui atapatwa na wazimu au ataendela kubishana na ukweli?
"Ukiijua kweli, nayo kweli itakuweka huru"
Yahweh ndio nini/nani?
ndo Mungu aliyemuumba Adam.
Mungu wetu ni nani?
kila mwaka watu wanatembea na mwenge kumuadhimisha Mungu wetu. we bado hujamjua tu?unakaa nchi gani wewe?