klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
khaaaa! yaani niseme tuna ujauzito?, jamani tuheshimiane. Nitampeleka klinik mapera nitamletea lakini hii habari ya kujiintroduce kwamba tuna kaujauzito hii hata sheria za JF haziruhusu.
Hey hey hey..watch out there now!!
:tape:Don't you like it... naweza badilisha position...:behindsofa:
Don't you like it... naweza badilisha position...:behindsofa:
Don't change..stay right where you are
EMT Kwa kiswahili huo ni uzi mwingine kabisa na NO NO NO.... It does not sound right...
Asha tufanye sasa? Tuchakachue lugha? "Tuna ujazito" ni perfectly fine kama uko na mwanamke mwenzako na wote ni wajawazito. Kama mie mwanaume niko na mwanamke niliyempa ujauzito, the proper response should be "Mke wangu ni mjamzito" na sio " sisi ni wajawazito"
The expression, "we're pregnant" is firmly entrenched in the American culture. Not ours.
Orait orait...we are preagnant is highly inappropriate for an African man such as EMT.Which means "we're expecting a baby". Unakwepesha wewe.
Will women start using the term were impotent as well? Equal bargaining. Au sio? Sijui hapa tutaonyesha ishara gani?
Yopu have a point. there is nobig deal in saying we are pregnant, just a support to your wife...
Will women start using the term "we're impotent" as well? Equal bargaining. Au sio? Sijui hapa tutaonyesha ishara gani?
Will women start using the term "we're impotent" as well? Equal bargaining. Au sio? Sijui hapa tutaonyesha ishara gani?