We Are Building For You

We Are Building For You

pererge

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
571
Reaction score
206
ndugu zangu katika ujenzi wa barabara ya Morogoro kwa mradi wa DART kuna vibao vyenye maandishi 'we are building for you'. kwa mtazamo wangu tafsiri yake inakuja vibaya. kwanza ni maneno ya kiingereza ambayo hayataeleweka kwa watanzania wengi, pili inamaanisha kuwa watz hatufahamu kinachofanyika hapo hadi tuambiwe 'we are building for you',
sijui wenzangu mnaloinaje hili?
 
pererge naona umepotoka, maana yake ni kuwajulisha watanzania hasa wana dar es salaam kuwa ujenzi wa barabara unaendelea,na kwamba mradi huo ni wao. sioni kama kuna tatizo lolote hapo.
 
pererge naona umepotoka, maana yake ni kuwajulisha watanzania hasa wana dar es salaam kuwa ujenzi wa barabara unaendelea,na kwamba mradi huo ni wao. sioni kama kuna tatizo lolote hapo.
sawa, nashukuru lakini mmh! ni nguvu zet watz, tuzithamini baadae tusijeng'oa ile mifuniko ya mitaro, itasababisha ajali.
 
Wewe ulitaka wasemeje?

wafute huo usemi usiwepo maana tuna akili zetu na tunafahamu kuwa hilo ni kwa manufaa yetu. 'we are building for ourself', labda kama hivyo. na lugha ya kiswahili ingefaa zaidi.
 
halafu ni kama vile ni msaada kumbe ni gharama zetu...

kwel naunga mkono hapa .umeme ukikatika tuna huzunika ukirud tunashangilia as if units tumepewa bure kama msaada vile.wabongo bongo zimelala nan aziamshe?
 
Usemi huo maana yake nikuwa wakati huu wanao jenga kunausumbufu mbalimbali hasa wa foleni lakini hii yote ni kwa manufaa ya watanzania katika siku za usoni
wafute huo usemi usiwepo maana tuna akili zetu na tunafahamu kuwa hilo ni kwa manufaa yetu. 'we are building for ourself', labda kama hivyo. na lugha ya kiswahili ingefaa zaidi.
 
ndugu zangu katika ujenzi wa barabara ya Morogoro kwa mradi wa DART kuna vibao vyenye maandishi 'we are building for you'. kwa mtazamo wangu tafsiri yake inakuja vibaya. kwanza ni maneno ya kiingereza ambayo hayataeleweka kwa watanzania wengi, pili inamaanisha kuwa watz hatufahamu kinachofanyika hapo hadi tuambiwe 'we are building for you',
sijui wenzangu mnaloinaje hili?
mbona iko poa kamanda wangu! usifikirie negatively. bora ukwazike kwa slogan hii..'Tumethubutu, Tumeweza na Tunazidi kusonga mbele', wakati deni la Taifa ndo limetusonga mbele...haaa haaa...
 
ukiangalia inaonekana hivyo, lakini ukipiga picha sana utaona kana kwamba sisi hatuelewi kwamba hiyo kazi ni kwa manufaa ya nani, yaani iko kama vile 'TUNAJENGEWA' kumbe tunaojenga ni sisi wananchi (ni nguvu zetu hata kama fund inatoka world bank sio bure tutailipia tu, wananchi wasipojua kuwa wao ndio waliogharimia mradihuo hata baadae hawataona hasara kuharibu hiyo miundombinu.
Usemi huo maana yake nikuwa wakati huu wanao jenga kunausumbufu mbalimbali hasa wa foleni lakini hii yote ni kwa manufaa ya watanzania katika siku za usoni
 
Back
Top Bottom