WCF wanachukua mda gani hadi kutoa majibu ya written interview?

WCF wanachukua mda gani hadi kutoa majibu ya written interview?

NEWSINKP

Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
77
Reaction score
95
Habari zenu.
Jaman kama kuna mwenye uzoefu na hawa jamaa kuhusu muda wanaochukuaga kwenye written mpaka ku release results atujuze jaman!
 
Watu wameshafanya intern hapo zaid ya mwaka then unategemea watachukua wengine zaid ya hao?
 
majina ya intern tunayo yote wataondoka na mtu hapo

mtu amefanya intern zaid ya mwaka unamwacha kweli?? sijui hizo roho huwa mnazitoa wapi waajiri kibaya unakuta humlipi, kama humtaki si bora umwambie siridhiki na utendaji wako tafuta kwingine
 
Back
Top Bottom