WCF wanachukua mda gani hadi kutoa majibu ya written interview?

NEWSINKP

Member
Sep 26, 2016
77
92
Habari zenu.
Jaman kama kuna mwenye uzoefu na hawa jamaa kuhusu muda wanaochukuaga kwenye written mpaka ku release results atujuze jaman!
 
majina ya intern tunayo yote wataondoka na mtu hapo

mtu amefanya intern zaid ya mwaka unamwacha kweli?? sijui hizo roho huwa mnazitoa wapi waajiri kibaya unakuta humlipi, kama humtaki si bora umwambie siridhiki na utendaji wako tafuta kwingine
 
Back
Top Bottom