Watu washaanza kazi.
Ujue ajira hakuna kabisa . Mawaziri wan watoto wao. Makatibu, makada wa ccm , magufuli ndugu zake.
Humphrey pole pole ana ndugu zake. makonda ana shemeji zake.
Wote hao mpaka wapate ajira kwanza.
Wengine tutaishia tu kufanyishwa interview.
(Joking)
Kweli mkuu. Written yenyewe ilifanyika kwa OMR (ile ya kusiliba viboksi) ambapo matokeo yanaweza kutoka ndani ya siku moja lakini mpaka leo ni miezi mitatu kimyaaaHizo kazi zitaondoka na watu hapo WCF.
Kweli mkuu. Written yenyewe ilifanyika kwa OMR (ile ya kusiliba viboksi) ambapo matokeo yanaweza kutoka ndani ya siku moja lakini mpaka leo ni miezi mitatu kimyaaa[/QUO
Kama walikua na watu wao wasingetusumbua kuumiza akili zetu kujibu mitihani yao au kutufanya tupoteze mida yetu wasingetangaza ajira waache tu kuwatesa watz wasio na ajira
yap tunapiga kaziKuna tetesi nilizisikia kuwa baada ya wiki mbili hivi baadae, kuna mdada alifanya usaili na aliitwa kuanza kazi, sasa sijui ni kweli ama vipi.
na wewe hueleweki Mara tunapiga kazi Mara tunasubiri msahau tuweke watoto wetu be specificyap tunapiga kazi