Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
ha ha kumbe watu wapo mzigoniHali imekaza mmepanic! Hakuna cha TAKUKURU wala nini Mchakato wa ajira uliendeshwa kwa Uwazi Na Vijana waliopata ajira walitaarifiwa na kuanza kazi Mara Moja.
ha ha kumbe watu wapo mzigoniHali imekaza mmepanic! Hakuna cha TAKUKURU wala nini Mchakato wa ajira uliendeshwa kwa Uwazi Na Vijana waliopata ajira walitaarifiwa na kuanza kazi Mara Moja.
Hali imekaza mmepanic! Hakuna cha TAKUKURU wala nini Mchakato wa ajira uliendeshwa kwa Uwazi Na Vijana waliopata ajira walitaarifiwa na kuanza kazi Mara Moja.
na wewe hueleweki Mara tunapiga kazi Mara tunasubiri msahau tuweke watoto wetu be specific
tunasubiri musahau tuweke watoto wetu
yap tunapiga kazi
Kwani walishatoa matokeo? Mbona kuna vijana wangu walifanya mtihani huo wa IFM na still wanasubiri matokeo?Hali imekaza mmepanic! Hakuna cha TAKUKURU wala nini Mchakato wa ajira uliendeshwa kwa Uwazi Na Vijana waliopata ajira walitaarifiwa na kuanza kazi Mara Moja.
Mmewekana watoto wa chama cha kijani tupuHali imekaza mmepanic! Hakuna cha TAKUKURU wala nini Mchakato wa ajira uliendeshwa kwa Uwazi Na Vijana waliopata ajira walitaarifiwa na kuanza kazi Mara Moja.
tulia dogo tumekukaribisha mjiniLipumbavu hilo achana nalo.
Hivi kuuliza ndio kutoa povu?!!! Unawezaje kualikwa kufanya usahili kama hauna vigezo?!!! Mpumbavu hujulikana ata kwa maandishi tuHahahaha....
Mtoa Mada mbona povu ivo???
Kama huna vigezo tulia usianze kutoa Povu humu jukwaani
Joking but this i take as a complete truth...Watu washaanza kazi.
Ujue ajira hakuna kabisa . Mawaziri wan watoto wao. Makatibu, makada wa ccm , magufuli ndugu zake.
Humphrey pole pole ana ndugu zake. makonda ana shemeji zake.
Wote hao mpaka wapate ajira kwanza.
Wengine tutaishia tu kufanyishwa interview.
(Joking)
Hakuna Alama ya kuuliza hapa, mkuu ni mshangao, au macho yanguu???Toka 18 March mpaka Leo bila bila khaaa!!
Ni Yale Yale hahah ngozi nyeus bhana kwani ukisema ''nna rafiki yangu nilisoma nae'' husinge eleweka?!!! Alaf ata kiswahili chenyewe hujui unakimbilia kizungu hahah (hapo subject ni wewe na yeye ni reference, alaf unasema tulisoma nae?!!! Huelewi wingi ni upi na umoja ni upi!!! Mpka sentensi yenyewe inajikataa!! Tukirudi ktk mada mchakato wa ajira hususani za umma sharti kuwe na uwazi ule mithani ulifanywa kwa watainiwa kupewa namba maana yake baada ya siku kadhaa majibu yatatoka huo ndio uwazi na kimantiki utaratibu upo hivyo, na kila mmoja alitegemea itakuwa hivyo. Sasa wewe unakurupuka kama ulilazimishwa kuchangia! Au haya maulizo yanakukera! Watu wengine bhana shiiida kwel kwelNaona Mapovu tu humu ya wasaka Ajira!!
Sasa mtoa mada na wenzako wote wanaoku-support, una uhakika gani kama watu hawajaitwa?
kimsingi i have a friend of mine tulisoma nae Nairobi Ameshaitwa, na ameshapata barua ya probation tayari; Kwa hiyo nadhani ni vyema kuendelea kupambana na kutafuta ajira mahali pengine kuliko kukomaa kulalamika humu jukwaani. Otherwise nenda ofisin kwao pale uliza kwa uhakika zaidi, acha kuuliza kutoka kwenye vijiwe vya kahawa.
n kweli . huyo dada ni ndugu yake pole poleKuna tetesi nilizisikia kuwa baada ya wiki mbili hivi baadae, kuna mdada alifanya usaili na aliitwa kuanza kazi, sasa sijui ni kweli ama vipi.