WCB wapewe heshima kwa kuandaa albums za viwango: A boy from Tandale, sound from Africa na sasa definition of love

Du! Umepotea njiaa. Ebu sema 10 record labels apa africa kama unazifahamu.

Mimi naona huu mziki unao usikiliza apa Tz unahisi ndo unapigwa kona zote africa ndomana unasema ety ipo top 5 WCB. Mzeee acha kuchemka.

Sasa ukitaka ladha ya mziki lazima usikilize miziki ya wanao juwa na siyo wapiga kelele. Mziki wa wazungu ni ya watu wanao fahamu nini wanakifanya.

Ukianzia uwandaji wa miziki na uwimbaji wenzetu wametuzidi. Adele huwezi mweka meza moja na huyo zuchu au rubby au nandy mana ni wapiga kelele alafu mashairi huwelewi nini anakimba zaidi ya utopolo mtupu ndomana nyimbo azikai za kibongo.

Bongo uwandaji wa miziki bado sana uwekezaji upo chini. Ndomana wengi hawana hiyo mizuka ya kusikiliza nyimbo za kibongo zaidi wanataka ya kizungu. Biti za kuiba iba kwa style ya kunga unga mara WCB ichukuwe nyimbo za zamani wafanye cover uwo ni upuzi.
Acha kutukana we zitaje kwa good arrangements tuone Kama WCB itakosa top 3
 
Sound from africa ni takataka, A boy from Tandahimba ni uchafu2 na ndo mana hakuna aliyethubutu kuziachia kwa mtindo wa MMAKONDE wote MDOMO NA RAYNYANI wameachia album VYUMBANI, kwa album zile ukumbini tungewamwagia mikojo album unatuwekea tetema sijui ujinga gan.
 
Sound from africa ni takataka, A boy from Tandahimba ni uchafu2 na ndo mana hakuna aliyethubutu kuziachia kwa mtindo wa MMAKONDE wote MDOMO NA RAYNYANI wameachia album VYUMBANI, kwa album zile ukumbini tungewamwagia mikojo album unatuwekea tetema sijui ujinga gan.
Sasa linganisha sound from Africa na uo uchafu wa underground wwnu.
1.SOUND FROM AFRICA (total streams 200)
Boomplays 9m,Spotify 30m, Audiomack 10m,youtube 50m bado iTunes, Pandora, Deezer, apple uahama.

2.Uchafu wa afroeast(total streams 50m)
Boomplay 2.3m,Spotify 2.3m, Audiomack 12m,YouTube 47m na Ina miaka 1
 
Don't hate be inspired
Yani nini cha ku inspired. Kwa nyimbo zipi za kibongo. Uwandishi na uwandaji wetu bado upo local sana. Kama wwe ni mfatiliaji mzuri wa muziki angalia uwandaji wa wenzetu wazungu.

Download album moja tu ya Ed Sheeran ukae usikize vizuri.

Nyimbo ya Beyonce ft jay z ina producers 8 nyimbo iliongoza kwa kuchukuwa tuzo nyiki kipindi cha 2013.

Rihanna una sikiliza nyimbo zake album zilizo pita mpka unaisi huyu dada katoka kuimba jana studio.

Mond na wasani wetu wengine nyimbo leo kesho ukilala imechuja
 
Habarini Wana Jamvi

Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.

WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono inatakiwa ipewe heshima maana hawaandai maremix Kama wasanii wengine ila wanatoa kile kilicho Bora zaidi na ukweli unajionesha wazi.

1.Diamond Platinums( A boy from Tandale-Album).

2.Rayvany(Sound from Africa-Album).

3.Mbosso(Definition of Love-Album).

Ko sitafurahishwa na wadau wa Muziki kudai kuwa Kuna Albums-remix yoyote inayozishinda ALBUMS za WCB kwa ujumla.

WCB ndo kiwanda Cha mziki na wanajua jinsi ya KUANDAA ALBUMS na kwa mda gani.

Ko mpaka Sasa ALBUM BORA KWA TANZANIA KWA MIAKA 10(2011_2021) WCB wametisha sana.

Wasanii Kama alikiba,harmonize,abbah process,darassa na wengine wengi bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka WCB namba ya KUANDAA ALBUMS ZAO.
Brainless post, kaielezee familia yenu huu utopolo
 
Back
Top Bottom