Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,047
- Thread starter
- #61
Ni lazima maana ndo maana ya UZALENDOMziki ni preference sio lazima tushabikie WCB..........
Ni lazima maana ndo maana ya UZALENDOMziki ni preference sio lazima tushabikie WCB..........
Ile iko top three.Ep ya lavalava vp kwa upande wa ep version
Endelea kukaza fuvuTushajua mnalipwa kwa kuposti utopolo namna hii, mwenzako kapewa kigari juzi.
Hapana baby ila unanipenda sanausikute ni yeye huyu mwenyewe aliepewa gari.
Endelea kukaza fuvuNikichokiona kwenye hii albamu ni Ile nyimbo ya sijui chini ya kunduchi yani nyimbo matusi sijui ndio mtindo wa siku hizi au
Fact WCB Ni motoniko naisikiliza ya Mbosso ni kali, kama kuna song Baikoko ft Diamond, Karibu ft Diamond, kadada ft Darasa etc. WCB is the best in East Africa
Endelea kukaza fuvuSijawahi kukuona ukipinga kitu chochote kutoka WCB, kwahiyo sihangaiki Nawew.
Una wazimu weeHapana baby ila unanipenda sana
Endelea kukaza fuvuMbosso mashairi ni mazuri.
Tatizo BEATS copy ni nyingi sanaaa.
Kama ile baikoko unaisikia nyimbo ya kayumba tilalila.yaani kiufupi beats zote ni marudio
UmenipatiaUna wazimu wee
Endelea kukaza fuvu
Nisikupatie why? Wakati najua wee ni chizi.Umenipatia
Du! Inaonekana mziki ndugu umeanza kufatilia bada ya Diamond platnumz kutoka kimziki 2009.Habarini Wana Jamvi
Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.
WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono inatakiwa ipewe heshima maana hawaandai maremix Kama wasanii wengine ila wanatoa kile kilicho Bora zaidi na ukweli unajionesha wazi.
1.Diamond Platinums( A boy from Tandale-Album).
2.Rayvany(Sound from Africa-Album).
3.Mbosso(Definition of Love-Album).
Ko sitafurahishwa na wadau wa Muziki kudai kuwa Kuna Albums-remix yoyote inayozishinda ALBUMS za WCB kwa ujumla.
WCB ndo kiwanda Cha mziki na wanajua jinsi ya KUANDAA ALBUMS na kwa mda gani.
Ko mpaka Sasa ALBUM BORA KWA TANZANIA KWA MIAKA 10(2011_2021) WCB wametisha sana.
Wasanii Kama alikiba,harmonize,abbah process,darassa na wengine wengi bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka WCB namba ya KUANDAA ALBUMS ZAO.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ushubwada m2pu mkuu. Nyimbo za kibongo kama bablishi asubuwi mchana utamu umeishaHiyo ya Mbosso ipoje,ebu tupe masong yaliyopo huko
Du! Umepotea njiaa. Ebu sema 10 record labels apa africa kama unazifahamu.Whatever the case WCB ipo kwenye top five ya label kubwa na Kali around African Continent ......mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ...... Wengine wanajivunia kuwashabikia wasanii wa ulaya alaf wanajiita wajanja kumbe washamba tuuu
Endelea kukaza fuvukweli ukipenda chongo uona kengeza.
Au haujui muziki.
Sawa njoo dm babyNisikupatie why? Wakati najua wee ni chizi.
Numbers don't lie kijanaDu! Inaonekana mziki ndugu umeanza kufatilia bada ya Diamond platnumz kutoka kimziki 2009.
Hizo album unavyosema zinaubora na viwango vya juu kulinganisha na album zipi za mziki apa duniani au africa? Mana hukisema hivyo lazima usema na kipi unakilinganisha.
Alafu unavyosema WCB ndo record label number moja Africa inaonekana wazi kabisa una mapenzi na WCB na huzifamu record label zilizopo africa ndomana unafanya mafananisho ya ajabu.
Hizo nyimbo ni bora apa ndani ya Tz ila usiseme eti hizo album nyimbo zake zimetikisa africa ndugu. Uwandaji bado upo chini mashairi mengine ya kawaida ndugu. Tz kimziki bado.
Biti tuna copy za nigeria na south africa tunaona kama tutatobowa soko kumbe wapi. WCB tuendele kupambanisha na Kili music, konde na hyo mpya NLM.
Don't hate be inspiredUshubwada m2pu mkuu. Nyimbo za kibongo kama bablishi asubuwi mchana utamu umeisha