WCB wapewe heshima kwa kuandaa albums za viwango: A boy from Tandale, sound from Africa na sasa definition of love

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Habarini Wana Jamvi

Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.

WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono inatakiwa ipewe heshima maana hawaandai maremix Kama wasanii wengine ila wanatoa kile kilicho Bora zaidi na ukweli unajionesha wazi.

1.Diamond Platinums( A boy from Tandale-Album).

2.Rayvany(Sound from Africa-Album).

3.Mbosso(Definition of Love-Album).

Ko sitafurahishwa na wadau wa Muziki kudai kuwa Kuna Albums-remix yoyote inayozishinda ALBUMS za WCB kwa ujumla.

WCB ndo kiwanda Cha mziki na wanajua jinsi ya KUANDAA ALBUMS na kwa mda gani.

Ko mpaka Sasa ALBUM BORA KWA TANZANIA KWA MIAKA 10(2011_2021) WCB wametisha sana.

Wasanii Kama alikiba,harmonize,abbah process,darassa na wengine wengi bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka WCB namba ya KUANDAA ALBUMS ZAO.
 
Back
Top Bottom