Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Sema ukweli wasanii wa WCB hawana jipya,style zao zote zinafanana hadi kubana pua,kiukweli ni rahisi mno kwa sasa watazoeleka kwa nyimbo zao na zitakuwa zilipendwa kila mtu asipobuni style yake ya ujio,halafu watazoeleka na kick zao za scandal,itafika mda hawatakuwa na jipya