WCB ni Diamond

WCB ni Diamond

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,424
Reaction score
8,068
Amini msiamini, bila diamond hakuna wcb. Namaanisha, hakuna msanii anayetoka wcb hivi leo anaweza kusimama na kutusua bila mgongo wa diamond.

Tahadhari kwa hili. Endapo siku diamond akidondoka, basi atadondoka na wasanii wote wa wcb. Hakuna atakayesikika tena na watapoteana.

Ushauri.
Ni vyema wasanii wanaotoka label ya wcb wakaanza kujijengea mazingira ya kuhakikisha kuwa hata jamaa akidondoka japo hatuombei, wawe na nguvu ya kuliendeleza gurudumu la burudani na wakasikika
 
Hauko siriazi unamjua rayvan vzur? Yule ni mashine ata huyo domo asubiri
 
Back
Top Bottom