WCB Battle: Ray vanny, Rich mavoko, Harmonise nani mkali zaidi?

Tuende katika mada. Mambo ya ukongwe hamna hapa.
Kwa upande wangu Harmonize ndio yupo juu. Rayvanny nyimbo zake zinafanana
 
Rich mavoko ni mkongwe ila hana heat Kali kama za hermonize bado na aiyola +niambie na matatizo pia ana nyimbo nyingi ila hana wimbo wa kuizid kwetu ya Raymond hivo kwa upande wangu hermonize bado anaendelea kuwa juu na anawameza sana wenzake kwa sauti na mashairi yake matamu
Pacha wangu na Ibaki story ni ngoma kali sana kuliko hizo ulizozitaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom