Hahaah,,,, Hayo mapovu yake sasaMkuu ulikuwa uanaanza na post hii af baada ya siku 4 unarudi na nyingine unasema una madem 2, mmoja mzuri ila anaringa kweli af mwingine ni ana sura ya kawaida ila anakupenda kweli,,, nombeni ushauri yupi wa kuoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo zamani kaka.Watu wazuri wanatesa nyie...Wanaringa...
Kwa sababu wanajua hata akikupoteza wewe leo kesho
anakamata Danga jipyaaa na ngoma inasonga...Ila
hawa wenye sura chachu wana heshima maana
wanajua kikinuka, mpaka afanye Scrub Miezi 6 ndo
anaambiwa I love you too 2...
Hizi Camera360 zinavyowadanganya ndo zinawatia uchizi,Hayo zamani kaka.
Siku hizi hata kajambanani nao wakishaona Kadashians kwenye Insta ya stress free nao wanataka kuiga mapozi. Eti wanasema hakuna mbaya, uzuri upo kwenye jicho la mtazamaji, ndiyo maana King Kong alipata binti mzuri tu
View attachment 389988
Siku hizi kimtandao mtandao uzuri unanunuliwa hata kama mwanamke ana sura kama ya Oprah Winfrey akiwa na uhakika wa kuwa na hela kujitengeneza naye anaringa.
Na wengine hata bila ya uhakika wanaringia walichonacho.
Sijui wenyewe wanawazaga nini vichwani mwao, sweetiepie LadyAJNdio nini Sasa? Akiringa NDIO hafi au anajisaidia biscuit?