Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,502
Umeongea ukweli mtupu...yaani ukioa demu wa kizungu hata ukimcheat wala hamaindi!
anaelewa kizuri kula na mwenzio.

nakushauri angalia kipindi kinaitwa the jerry springer show..hata you tube unaweza download baadhi ya vipindi..ndo utajua..cheating ni personal..unaweza ukawa na mtu lakini hacheat sababu hajapata nafasi au chance ya kucheat..ila design kimtindo wazungu civilization yao inawabeba..na kimsingi ni watu wanaopenda kufanya vitu vizuri bila kuegemea katika msingi wowote ule uwe wa kidini au laa...over...Nimesikia kutoka kwa waliooa au kuolewa na wazungu kuwa ni watu makini kwa familia zao, na huwapenda kwa dhati wake au waume zao. Pia hawa cheat kama wabongo..na kama hakupendi hata kama ni mkewe anakuambia hili ni kweli? na kama nikweli sisi wabongo kwanini tusijifunze?
nakushauri angalia kipindi kinaitwa the jerry springer show..hata you tube unaweza download baadhi ya vipindi..ndo utajua..cheating ni personal..unaweza ukawa na mtu lakini hacheat sababu hajapata nafasi au chance ya kucheat..ila design kimtindo wazungu civilization yao inawabeba..na kimsingi ni watu wanaopenda kufanya vitu vizuri bila kuegemea katika msingi wowote ule uwe wa kidini au laa...over...

Wazungu wapo tufauti bidada.
Wazungu unao mzungumzia wewe ni wale, wenye busara.
Wenye madili mema.
Hawa ni rahisi kuwaelewa,ni wakweli.
Akikuambia kakupenda basi kakupenda kweli.
Akikuambia hakupendi ni kweli hakupendi kweli.
Ukubali makosa na uomba msamaha.
Ahaidi vitu vya uhongo.
Na ukimtapeli kipesa ama kimapenzi anaweza akakua na akajiua.
Kiujumla wazungu wengi wapo dizain hiyo uliosema
Lakini wapo pia wazungu mcharuko ingawa si wengi.
Wao wanamatatizo ya kupenda mtu.
Atakupenda kwa muda, ukipita mwaka anakuambia hakupendi.
Na anakuambia anatafuta mwengine. Au kapata mwingine.
Na anaweza kuwa na wapenzi wengine na akakuambia.
Uzuri wa wazungu hawafichagi, kwaiyo kama si size yako unaweza kugundua haraka, na kukimbia na kumuambia, sorry i dont looking for person like you. Lakini muafrika uficha na ngumu kugundua. Na muafrika anaweza kukupotezea muda, anaweza kukuoa kifake fake.
Hii iliyoandika hii maneno hapo juu ni mke ya Muzungu?.Wazungu wapo tufauti bidada.

Hapaa utumwa ni nini au tunajadili? nadhani akili yako unawaza utumwa utumwa tu.Acha utumwa!
anaelewa kizuri kula na mwenzio.