ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Maria Nyamhanga, Clinton alikuwa mweusi?
dada maria kishaanza kuvutiwa na kina mange wa uturn blog..
Last edited by a moderator:
Maria Nyamhanga, Clinton alikuwa mweusi?
Maria Nyamhanga, Clinton alikuwa mweusi?
Mimi nasikia wanaume wa kinyakyusa si cheaters!
Tatizo lako unapenda sana kusikia, na kwanini upende kuambiwa?.Nimesikia kutoka kwa waliooa au kuolewa na wazungu kuwa ni watu makini kwa familia zao, na huwapenda kwa dhati wake au waume zao. Pia hawa cheat kama wabongo..na kama hakupendi hata kama ni mkewe anakuambia hili ni kweli? na kama nikweli sisi wabongo kwanini tusijifunze?
Pension za wenzetu hawapewi kama sisi kwa malamoja then kiduchuu... wanalipwa kama mshahara tu kila mwezi hupewi fungu kubwa kama kwetu.hivi, hivi vibabu vya kizungu vinapatikana wapi hapa bongo?nataka nivisaidie kula pension lol!:target::majani7:
Nimesikia kutoka kwa waliooa au kuolewa na wazungu kuwa ni watu makini kwa familia zao, na huwapenda kwa dhati wake au waume zao. Pia hawa cheat kama wabongo..na kama hakupendi hata kama ni mkewe anakuambia hili ni kweli? na kama nikweli sisi wabongo kwanini tusijifunze?
Hili la mshiko ndo lenyewe......mbaya zaidi bado kuna wanaodhani kila mzungu ana mshiko!Hamna lolote.Hapo mnawaza mshiko tuu.Ndio maana mnaolewa na vibabu.
Umeongea ukweli mtupu...yaani ukioa demu wa kizungu hata ukimcheat wala hamaindi!
Hamna lolote.Hapo mnawaza mshiko tuu.Ndio maana mnaolewa na vibabu.