BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
Tatizo, na wao LGBT wanasema hivyo hivyo kuhusu wengine. Kwa mfano, kuhusu watu wanaopinga mambo yao kwa misingi ya dini.Kuna watu wachache,wenye matashi ya peke yao katika kuiendesha hii Dunia
Wanataka Ujinga,uwe ndio maisha ya kila mmoja,ili wapate kuitawala Dunia kama watakavyo wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Na watu hawa kwa bahati mbaya,au nzuri ni kuwa hufadhili haya mambo bila wenyewe na familia zao kuathirika.Watoto wao wamewatengeneza vizuri kiasi kwamba huwezi kusikia wanajiingiza kwenye ujinga huo.Sisi tunadhani ni mtindo wa maisha wa kistaraabu na maendeleo ya mwanadamu na hasa ukihalalishwa na wazungu, wengine ndio tunadhani ni maisha kwa sababu tu mzungu anaona ni halali.Kuna watu wachache,wenye matashi ya peke yao katika kuiendesha hii Dunia
Wanataka Ujinga,uwe ndio maisha ya kila mmoja,ili wapate kuitawala Dunia kama watakavyo wao
Sent using Jamii Forums mobile app
So watu waache kutumia rainbow kisa hao wanao oana wenyewe?inasikitisha sana.Kwa makusudi kabisa hii kitu inaenea sana,ukiangalia timu zote za ulaya kitu hiki kinashabikiwa sana,hapa kwetu kuna baadhi ya dala dala tayari zina nembo hizi.Yaani ni hatari kubwa.
Acha uongo mzee.Na watu hawa kwa bahati mbaya,au nzuri ni kuwa hufadhili haya mambo bila wenyewe na familia zao kuathirika.Watoto wao wamewatengeneza vizuri kiasi kwamba huwezi kusikia wanajiingiza kwenye ujinga huo.Sisi tunadhani ni mtindo wa maisha wa kistaraabu na maendeleo ya mwanadamu na hasa ukihalalishwa na wazungu, wengine ndio tunadhani ni maisha kwa sababu tu mzungu anaona ni halali.
Au sio Jesus saves God Bless amerikaNguvu iliyo nyuma yake ni kubwa mno, huku mtaiga tu kikishakubalika huko mbele.... hebu jiulize hizo timu zimelazimishwa..?
Jesus saves, I spend.
Au sio Jesus saves God Bless amerika
Hakuna uongo,ni kuwa hujanielewa tu.Mimi siongelei wazungu wote,naongelea wazungu wenye nguvu wanaoendesha na kufadhili hizo kampeni.Umewahi sikia mtoto wa Bill Gates kuwa ameathirika na dawa za kulevya au shoga?,hata wa Trump?.Panua uelewa wako soma zaidi mambo yanayoendelea duniani.Acha uongo mzee.
Wazungu wameshindwa kuwadhibiti hata watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haa ha we acha tu ila tucheki hamna namna maana soon hichi kitu kinaenda kuwa kawaida.TFF iboreshe ligi yetu maana kila nikiangalia mechi za epl nahisi Kama na mimi nasuport ushoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inaenda kasi sana nguvu inayotumika ni kubwa kutuaminisha uovu ni usahihi.Ligi yetu pendwa imeniangusha.
Kila nikiwasha TV niangalie mpira nikiona yale marangi rangi . hata hamu ya kuangalia inakata.
Nahisi niko ndotoni vile.
Sent using Jamii Forums mobile app