Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Ulemavu wa akili ni mbaya zaidi kuliko wa viungo.
wahenga walisema bora ukose mali upate akili
Ulemavu wa akili ni mbaya zaidi kuliko wa viungo.
hehehe! Hii ndio typical akili ya mwafrika!! Mwibie mali, yuko poa, mwibie ardhi, hana noma, mtupie magonjwa, yuko fresh tu, mpige na umtukane hawezi jirudishia!! Ila chonde chonde mtishie kwenye maswala ya ngono ndio utamtambua!!
Miafrika ndivyo....
miafrika ndivyo tulivyo!!!
na wewe unaweza kuwataka pia mbona simple free world
chocolate wangu wanantosha mie. nitaende kutafuta hao wengine wa nini?