Sasa kinachokushangaza ni kipi hapo....???
Dating sites zipo za chungu nzima, hata ukitaka za mashoga huku mwenye mitandao zipo tele...
Sasa kinachokushangaza ni kipi hapo....???
Dating sites zipo za chungu nzima, hata ukitaka za mashoga huku mwenye mitandao zipo tele...
Eti??????
Mkeo akuache akimbilie kwa mzungu, afu umlaumu mzungu? Jikrimu, uweke na kalikiti ili asikukimbie.
Acha uoga..mwanaume unatakiwa kujiamini!!! akija mwenye hela utapambana nae au utamwachia mkeo...hebu nielekeze kwako nije kutesti zari kabla nssf yangu haijaishasijasema nashangaa ujue. mi naona wasiwasi tu hapo. tutaweza kushindana kweli? au ndo itakuwa kama gesi wabaki wao tu kwa sababu za kiuchumi. we huoni pana mtego hapo?
Eti??????
Mkeo akuache akimbilie kwa mzungu, afu umlaumu mzungu? Jikrimu, uweke na kalikiti ili asikukimbie.
Acha uoga..mwanaume unatakiwa kujiamini!!! akija mwenye hela utapambana nae au utamwachia mkeo...hebu nielekeze kwako nije kutesti zari kabla nssf yangu haijaisha
Hehehe! Hii ndio typical akili ya mwafrika!! Mwibie mali, yuko poa, mwibie ardhi, hana noma, mtupie magonjwa, yuko fresh tu, mpige na umtukane hawezi jirudishia!! Ila chonde chonde mtishie kwenye maswala ya ngono ndio utamtambua!!
Miafrika ndivyo....
sijasema nashangaa ujue. mi naona wasiwasi tu hapo. tutaweza kushindana kweli? au ndo itakuwa kama gesi wabaki wao tu kwa sababu za kiuchumi. we huoni pana mtego hapo?
Mkuu wala hakuna mashindano kwenye suala la mahusiano kama unavyodhani...
Sisi wote ni binadamu wenye idadi sawa ya 'chromosomes', hata wewe upo free kuoa au kuhusiana na mtu wa taifa lolote pasipo kujali rangi...
Kwenye ulimwengu wa leo wa utandawazi zipo pia sites ambazo zinaencourage wanaume wa Kiafrika ku-mingle na hao wazungu...
Eti??????
Mkeo akuache akimbilie kwa mzungu, afu umlaumu mzungu? Jikrimu, uweke na kalikiti ili asikukimbie.