Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Ila Wakuu huwa tunakosea sana kuwasingizia wazungu, hivi umeshawahi kumuona mzungu kavaa mlegezo?

Tafsiri ya mlegezo tumefundishwa na kuaminishwa kuwa ni utangazaji wa soko la kuliwa kwa mashoga sasa kama ndivyo Marekani ni nani wa kulaumu kuwa mwengine anaharibu watoto wao?

Nadhani ni huyu mzungu sababu wanaovaa milegezo wengi ni weusi.

Mimi nitakubali kuwa Ushoga na LGBTQ kwa ujumla inaratibiwa na kusambazwa na kikundi cha watu wachache sana duniani waliopo kwenye kila bara la hii dunia. Wenye nguvu na ushawishi kwenye kila taasisi imara hapa duniani iwe UN, serikali za mataifa na Dini.

Lakini kung'ang'ania tu ni wazungu hapa tunakosea sana kwa nionavyo mimi.
 
Mkuu hapo umeongea point
 
Inaumizaa!!

Lakini kinachoumiza zaidi ni kuwa wanaojinasibu kuwa hawapendi vitendo hivyo ndomara nyingi huwa wafanyaj wakuu wa hivyo vitendo...
 
Your browser is not able to display this video.
 
Duuuh makubwaaah haya tena.
 
nafikiri tuondoke wote tu ili tupishe Dunia ianze upya huwenda ikawa na watu waaminifu
 
Huyo mwandishi ni mzushi
 
Mkuu hapo sija
Mkuu hapo sijakupata. Nifunulie kidogo tu angalau

Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…