Wazungu wamekuwa wanatuona waafrika kama ni walemavu flani wa akili,hivyo misaada yao kwetu ilikuwa ni pesa,vyakula,madawa nk.kwamba huwa wanajaribu kutuimanisha kwamba hatuwezi kufanya chochote ila tutegemee tuu misaada yao..Wachina mbona wako tofauti.