Wazungu wameichoka CCM, Wasituletee ya Libya

Wazungu wameichoka CCM, Wasituletee ya Libya

Mkuu hapa jambo muhimu ni kujiuliza je hao libya walizaliwa na hayo machafuko?au machafuko yalitokea hewani tu na kuanza kupigana?jibu ni hapana kuna chanzo na chanzo kilianza kama hapa kwetu,lazima ujue kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha,serikali ikizidisha dharau sana raia wake matokeo yake inakuwa mbaya sana.
Kwa hiyo ndugu....unaamini suluhisho la matatizo yetu na CCM ni kuleta machafuko....??
Yaani bado hakuna njia ya nyingine ya kuweka mambo sawa ndani ya taifa letu mpaka watu wamwagane damu.....je katika hayo machafuko usalama wako na wa familia yako umeuhakikisha kwa kiwango gani......???
 
Uhuru wa kujiamulia mambo yetu, bado sana hatujaupata, tutaupata tu, pale tutakapokua na uwezo wa kiuchumi na rasilimali watu, bila hivyo nchi za afrika tutaendelea kunyanyaswa miaka mingi ijayo.
Angalau kwa leo umeongea ponit kwa mara ya kwanza tangu ujiunge na jf, hongera
 
Kwa hiyo ndugu....unaamini suluhisho la matatizo yetu na CCM ni kuleta machafuko....??
Yaani bado hakuna njia ya nyingine ya kuweka mambo sawa ndani ya taifa letu mpaka watu wamwagane damu.....je katika hayo machafuko usalama wako na wa familia yako umeuhakikisha kwa kiwango gani......???
Nivizuri tukamaliza matatizo yetu sisi wenyewe kwa njia ya mashauriano na kusikilizana,lkn jee huyo wa upande wa pili yaani watawala chini ya ccm wanakubali kukaa meza moja na wa upande wa pili kushauriana?
 
Kwa hiyo mkuu ni bora mtumbwi uvunjwe tugawane mbao....
 
nimetafakari sana hotuba ya MUGABE, yule dictator wa Africa hasa pale aliposema eti KIKWETE alimtonya kuwa dunia ya kwanza wamemwambia CCM imekaa madarakani muda mrefu sana na wakashauri wawapishe na wengine. tafakari yangu imenikumbusha kuwa kauli hizi si mara ya kwanza kusikika katika nchi tofauti na baada ya kauli hizi mambo huwa si mazuri,
Wazungu wakikuchoka, na wakaamua kukupa live basi ujue kweli wanamaanisha, waulize Libya, Tunisia, Misri, sudan, afaghanstan, Osama, n.k

hawa watu ni mabingwa wa kutumia kosa dogo sana kupenyeza fujo kubwa ili kumuondoa yoyote waliyemchoka, yaani they take advantage of a very small internal mistake or cleavage and escalate it to unimaginable conflict combo.
Sasa haka ka mgogoro ka zanzbar tusipokuwa makini ndo katatumika, nimewaskia wakianza kutoa warning kalikali, na za kuogofya, huku wakisema eti wasijelaumiwa kuwa hawakutuonya. Hapa kuna kitu kinanukia hapa. kama siri aliyoitoboa Mugabe kuhusu CCM ni kweli, TISS fanyeni kazi yenu, nna wasiwasi Zanzbar inaweza kutumika kama njia ya hawa wenzetu kupenyeza propaganda za kuwaharibia waliochokwa

CCM imechokwa na ndugu zao wazungu, alafu wanalea mgogoro ambao ni potential threat kwa amani ya Tanzania nzima, Tusishangae rocket launchers zikianza kupatikana mitaani, alafu tukaanza kujiuliza eti zimetoka wapi, wakati wameshasema wamewachoka CCM

Msijesema sikusema
We jamaaa unafikiri vizuuri ila usihofu tumejipanga wataisoma namba
 
Angalizo

Msifiikiri wote wanaochati humu ni watanzania , hawa wengi ni vibaraka wa maadui zetu afrika na nje ya afrika (wazungu) , hivyo wameanza propaganda tena walizoshindwa octoba 25 mwaka Jana , hivyo tuwe makini

Mtanzania halisi hata kama haipendi CCM hawez sapoti vita ,

Tanzania ni taifa teule afrika japo tuna matatizo ya kiuchumi na kiuongoz ila sasa tunaanza kuamka na niwahakikishieni ,
Tanzania hakuna vita watarudi kwa aibu
 
Magu haendi kujikomba kwao lazima waichoke ccm na wataisambaratisha.
 
sisi
nimetafakari sana hotuba ya MUGABE, yule dictator wa Africa hasa pale aliposema eti KIKWETE alimtonya kuwa dunia ya kwanza wamemwambia CCM imekaa madarakani muda mrefu sana na wakashauri wawapishe na wengine. tafakari yangu imenikumbusha kuwa kauli hizi si mara ya kwanza kusikika katika nchi tofauti na baada ya kauli hizi mambo huwa si mazuri,
Wazungu wakikuchoka, na wakaamua kukupa live basi ujue kweli wanamaanisha, waulize Libya, Tunisia, Misri, sudan, afaghanstan, Osama, n.k

hawa watu ni mabingwa wa kutumia kosa dogo sana kupenyeza fujo kubwa ili kumuondoa yoyote waliyemchoka, yaani they take advantage of a very small internal mistake or cleavage and escalate it to unimaginable conflict combo.
Sasa haka ka mgogoro ka zanzbar tusipokuwa makini ndo katatumika, nimewaskia wakianza kutoa warning kalikali, na za kuogofya, huku wakisema eti wasijelaumiwa kuwa hawakutuonya. Hapa kuna kitu kinanukia hapa. kama siri aliyoitoboa Mugabe kuhusu CCM ni kweli, TISS fanyeni kazi yenu, nna wasiwasi Zanzbar inaweza kutumika kama njia ya hawa wenzetu kupenyeza propaganda za kuwaharibia waliochokwa

CCM imechokwa na ndugu zao wazungu, alafu wanalea mgogoro ambao ni potential threat kwa amani ya Tanzania nzima, Tusishangae rocket launchers zikianza kupatikana mitaani, alafu tukaanza kujiuliza eti zimetoka wapi, wakati wameshasema wamewachoka CCM

Msijesema sikusema
sisi pia tumemchoka malkia wa uingereza. watu tumeingia uzeeni tangu watoto tunasikia huyo mwanamke hadi sasa kizee kinang'ang'ania. mbona wafalme wengine wameachia watoto zao ie uholanzi? kama watanzania kama wameamua kugangamana na ccm sio shauri lao. china wameamua kugangamana na chama chao cha kikomonisti hadi kimewatoa. sisi pamoja na kuwepo upinzani watu wanaona ccm ndio itawatoa. wazungu kwao vyama vingi kwa waafrika ni ili waendeleze kwa urahisi sera yao ya kuwagawa watu kwa madhumuni ya kuwatawala na kuwanyonya kiuchumu. rais madhubuti anayepinga ufisadi kama jpm na mwenye sera ya kuinua uchumi kwa faida ya wananchi wake sio rafiki kwao.
 
mkuu don't underestimate the power of intelligence, tatizo amani tuliyonayo imetufanya tumekuwa complacent sana.
So ni muhimu taasisi yetu ya usalama kukusanya some covert intelligence and use them to predetermine the situation, then take preventive measures, kimsingi hatuwezi kuvamiwa kivita, so kuzuia propaganda encroachment ni muhimu sana na hii huwezi kuifanya bila kujiandaa kiintelligensia
Mkuu SONGOKA, intelligence agencies zote huwa zina kitu kama Strategic information ambayo inaweza kuipasua jamii fulani. Hizi taasisi za kijasusi za nje ni mabingwa wa kukusanya hizi data. ni kweli sasa tutaangalia sana Zenj, lakini kama wanataka kuipasua Bongo wanajua mianya iko wapi. Na njia ni nyingi pia tena karibu zote zitaanzishwa na wabongo wenyewe. Wao wanakoleza kwa kukunyima misaada, kukudai madeni yao kifasta, kupeleka viongozi wako ICC nk. Kwa mfano, wakifichua uhalifu wa viongozi wenu wakaona hamna fujo bado wanazo zana kama kushusha thamani ya hela yenu mpaka kieleweke. Hiyo ikishindwa sasa ndio wanakuja special forces (wengi wana-pose kama raia wataalam wa fani za kiraia) kuchochea vurugu. Mkiwanyia hawa fujo au kuwauwa inakuwa ni zamu ya Marines kuja.
 
sisi

sisi pia tumemchoka malkia wa uingereza. watu tumeingia uzeeni tangu watoto tunasikia huyo mwanamke hadi sasa kizee kinang'ang'ania. mbona wafalme wengine wameachia watoto zao ie uholanzi? kama watanzania kama wameamua kugangamana na ccm sio shauri lao. china wameamua kugangamana na chama chao cha kikomonisti hadi kimewatoa. sisi pamoja na kuwepi upinzani watu wanaona c ndio itawatoa. wazungu kwao vyama vingi kwa waafrika ni ili waendeleza kwa urahisi kuemdeleza sera yao ya kutugswa kwa madhumunu ya kututawala na kutunyonya kiuchumu. rais madhubuti anayepinga ufisadi na mwenye sera ya kuinua uchumi kwa faida ya wananchi wake sio rafiki kwao.
Ccm itatutoa lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom