KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Wazungu watu wamipango Sana tazama walivyochezesha karata zao hadi kumng'oa Omar Al Bashir kwa sura yakawaida tunasema ni kutokana na maanano ya wananchi, lakini ukweli Wazungu wapo nyuma ya mipango hii.
Picha akiwa ananyolewa nawafungwa wenziye.
Nasikia anapelekwa ICC
Picha akiwa ananyolewa nawafungwa wenziye.
Nasikia anapelekwa ICC