Vikojoleo bandia....huku ni kumkosoa MunguBaada ya wazungu kuona kuwa wadada wanapata shida ya kuchuchumaa mara kwa mara wakati wa kukojoa wamehamua kuja na technolojia hii ili kuondoa tatizo hilo LOL!!
Ndio maana wakatengeneza dildoShida yao kukojoa huku wakiwa wamesimama
Wamechoka kuchuchumaa au ndio kutaka haki sawa!?Ndio maana wakatengeneza dildo
Ujinga mtupu...haki sawa wanayoitaka haiwezekani tui litabaki kuwa tui na maziwa yatabaki kuwa maziwa japo kwa rangi vinafananaWamechoka kuchuchumaa au ndio kutaka haki sawa!?
Not real...!Vizuri kwa public toilets kuzuia infections.
Do you people have to be so negative!!!
Unacho nini?!Vizuri kwa public toilets kuzuia infections.
Do you people have to be so negative!!!
Kipenyo chako size ngap?Itabidi na me nikitafute,
Maana UTI imekua janga kwa sisi wanawake.
Kipenyo chako size ngap?