Wazungu,Waarabu na Wahindi

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Watu hawa wanatuinfluence mpaka leo kwa uzuri na mabaya.
-Wazungu walileta ukoloni na ukristu
-Waarabu uislamu
-Wahindi biashara na ufisadi.

Yupi ni bora
 
Watu hawa wanatuinfluence mpaka leo kwa uzuri na mabaya.
-Wazungu walileta ukoloni na ukristu
-Waarabu uislamu
-Wahindi biashara na ufisadi.

Yupi ni bora

Waarabu pia walileta utumwa!Wahindi nao walinyonya wengine kama walivyofanya wakoloni na wenye kuendesha biashara ya utumwa.
Ufisadi upo toka enzi na enzi hadi leo.... siyo wahindi tu.
All in all..maovu ni maovu hakuna afadhali -UKOLONI, UTUMWA,UFISADI vyote ni vibaya.
Aliye bora ni wewe mwenyewe ulivyo na maisha yako utakavyoyaendesha, bila kujaribu kutafuta kwanini una hali duni, ni nani alikusababishia... ni mzungu, mwarabu au mhindi.
 
Mama, umegonga ikulu!!!

Lazima tukumbuke hata vile vipande vya nguo, pesa, basikeli na urembo wamisionari na expolers walivyowapa machifu na watemi wetu ulikuwa ufisadi pia!!

Cha maana ni kuanzia tulipo kuendeleza nchi, bara na race yetu ambayo bado iko chini
 
Watu hawa wanatuinfluence mpaka leo kwa uzuri na mabaya.
-Wazungu walileta ukoloni na ukristu
-Waarabu uislamu
-Wahindi biashara na ufisadi.

Yupi ni bora
Mwanamasala, between two devils, choose the lesser.
Hayo ni ya zamani yamepita, usitonyeshe makovu ya zama ukoloni, race relations na ujio wa dini.

Huu utakuba ni kutafuta scapegoat ya matatizo yetu kwa visingizio vya zamani.

Wote tuliopo sasa ni wamoja, wahindi, waarabu, wazungu, waswahili wote ni Watanzania and we are aour own devils tusitafute mchawi wa kumsingizia.
 
Mama, umegonga ikulu!!!

Lazima tukumbuke hata vile vipande vya nguo, pesa, basikeli na urembo wamisionari na expolers walivyowapa machifu na watemi wetu ulikuwa ufisadi pia!!

Cha maana ni kuanzia tulipo kuendeleza nchi, bara na race yetu ambayo bado iko chini

My bro... i like ur addition - the bolded part.Watu wanadhani ufisadi ni kukwapua/kupokea mabilioni.
 
Hakuna bora, lakini mbaya zaidi ya wote ni sisi ambayo tunaendelea kutawalwa kimawazo na haya makundi miaka mingi baada ya kupata uhuru... haki ya nani bora utumwa wa pingu kuliko utumwa wakiakili!
 
Back
Top Bottom