Wazungu pori

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Madada wa mjini hii tabia ya kuita waume na ma boyfriend wa wenzenu wazungu pori kisa wametoka eastern block si nzuri kwani hao wazungu pori si binadamu.

Juzi Tamekaa bidada alitufahamisha boyfriend wake mPolish, alipoanza kuongea tu wadada wa mjini wakaanza kukanyagana, mdada alipoodoka na mPolish wake ndipo walipoanA mzungu mzungu kumbe mzungu pori na hao waliopata wazungu wasemeje.

Kwanini usifirahie kuwa mwenzako amepata wa kumtoa mawazo?
 
Kawaida yenu wanawake.

Huwa hampendani.

Na ukiona mnapendana,jua ni upendo wa muda tu si endelevu.
 
Pole kwa hayo yaliyomkuta rafikiyo.

Any way, wazungu wote ni wazungu koko/ wazungu pori hakuna tusi hapo.
 
Binadamu tuna asili ya roho mbaya na kutokufurahishwa na mafanikio ya wengine..hii haijalishi mwanaume au mwanamke.
 
[emoji121]
MKUU,

PAMBANA NA HALI YAKO!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…