Huyu dikiteita wa Misri anahitaji Tanzanite kweli? Sasa Maza pyramid atazifanyia nini> sijaelewa Trade exchange ni ngumu klwa hawa madikiteita wawili. Ngoja waje wataalamuWametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.
Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.View attachment 2007565
Tuna garasha IkuluTushapigwa tena maana si kwa speed hii ya ziara hizi.
Ni lini uliwahi kuelewa?Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.
Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.View attachment 2007565
Mkwapuaji anapohisi amepigwa!Tushapigwa tena maana si kwa speed hii ya ziara hizi.
Ushasema huelewi?Yaani mnataka kuchukua ma pilamidi kwa tanzanite?
Akili zenyewe zi wapi zilishaondoka kwa kukong'otwa na wananchi wenye hasira!Bila mimi hilo neno kuelewa lisingekuwepo kwenye kamusi
Hujaelewa kabisa na aliyekuelewesha ni kipofu!Chukueni hiyo michoro na wao waje wajichotee hizo Tanzanite tuone nani kaona
Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.
Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeber
Marais wote wawili wanataka rasmali za nchi zao (Pyramids na Tanzanite) ndio ziwe mitaji wa maendeleo badala ya misaada na mikopo.Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.
Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.View attachment 2007565
Yetu machoWametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.
Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.View attachment 2007565