Wazungu na ziara za Rais Samia Suluhu

Wazungu na ziara za Rais Samia Suluhu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,261
Reaction score
98,289
Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.

Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.
​

Screenshot_20211112-060426.jpg
 
Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.

Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.View attachment 2007565
Huyu dikiteita wa Misri anahitaji Tanzanite kweli? Sasa Maza pyramid atazifanyia nini> sijaelewa Trade exchange ni ngumu klwa hawa madikiteita wawili. Ngoja waje wataalamu
 
Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.

Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeber
Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.

Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.View attachment 2007565
Marais wote wawili wanataka rasmali za nchi zao (Pyramids na Tanzanite) ndio ziwe mitaji wa maendeleo badala ya misaada na mikopo.
 
Akili zenyewe zi wapi zilishaondoka kwa kukong'otwa na wananchi wenye hasira!
Pole sana ila leo hii ndiyo akili itakurudia baada ya kuchagua picha ya piramidi na wewe kukabidhi tanzanite
 
Back
Top Bottom