Wazungu na waafrika

hivo ndivo wanataka uamini ila sio kweli. until 1700 africa na ulaya hapakua na tofauti hata sisi tulikua na great empires ila utumwa na colonisation vikaturudisha nyuma na namna dunia leo imekua ikipelekwa inakua vigumu sana kwa nchi au continent kujiinua tena. ila kama akili tuna akili sawa tu. mwfrica akienda ulaya apewe exposure atafanya sawa na mzungu

mkuu tupe ukweli wa mambo siyo kutumi historia yenye uongo mfano siajabu mpaka wewe leo unaamini hivyo(mlima kjro uligunduriwa na Rebman and Krapt teh)
Ebu niambie part gani Afrika by 18th c watu walikuwa wakitumia plough kwenye kilimo,cottage ind,marine technology,steam ingine,locomotive ind and transport,surplus production,laboratory etc?
Waafrika ni homidie then evolution yao bado haijafika ata kwenye h.habils and h.sapien leo unategemea nini?
 
Mkuu kwanini tuhitaji kuvumbua na kutumia plough wakati vitu vinajiotea na chakula kipo kila mahali, ndio maana nikakwambia environment shapes people ndio maana Egypt wakagundua irrigation bila hivyo wasingeweza ku-survive pia Pyramids inaonyesha kabisa hawa jamaa hawakuwa vilaza, na kuweza ku-preserve bodies (mummies) inaonyesha ni jinsi gani hawa jamaa hawakuwa nyuma..

Brains have got no colour.., wewe leo ukianza kuufanyisha ubongo wako mazoezi na kuwa mtu wa ku-question mambo kadri siku zinavyokwenda utaendelea kuwa intelligent kuliko siku iliopita, ila ukiendelea kukaa na watu walewale wenye mawazo yaleyale na wewe kuendesha maisha yaleyale basi utabakia vilevile...
 
Ndio maana nikasema it has got nothing to do with skin color bali mazingira na culture za watu..., leo hii ukichukua watoto wa mataifa tofauti na kuwaweka kwenye nchi moja na mzazi mmoja utaona on average watakuwa na tabia za kufanana pia intelligence yao itakuwa on average haina tofauti sana na haina uhusiano na taifa walilotoka...

Sin uhakika kama nakubaliana na wewe hapo. Utamaduni na mazingira yanatokana na jamii husika. Sasa sisi kama mazingira yetu ni mabaya na tunajua ni mabaya na kila aina ya sababu ya kuyabadilisha tunayo lakini hatufanyi hivyo kwa vile hatuwezi, unalielezeaje hilo?

Ndio maana nikasema hata baada ya mazingira kuwabana watu wa Egypt enzi hizo walijikuta wanavumbua umwagiliaji ili kuweza kuishi, wakati sehemu nyingine watu walikuwa na bahati ya kuwa na ziwa (maji) jirani hivyo hakuna sababu ya kusumbua kichwa.

Moja ya visingizio visivyo na mshiko. Nchi kibao za Afrika zina matatizo lukuki kuanzia ukame hadi magonjwa, kwa nini hatuvumbui chochote? Isn't necessity the mother of all (or most) inventions?

Alafu kumbuka hii ni vicious cycle kama jamii yenu ni mbumbumbu basi kuna uwezekano mkubwa hata watoto wakawa hivyo kutokana na malezi.

Umbumbumbu wetu umeanzia tokea zamani. Tunaambiwa mababu zetu walikuwa hawajui kusoma wala kuandika na ndiyo maana walisaini mikataba mibovu. By inference hapo utaona kwamba ni wazungu (au ukipenda wakoloni) ndiyo waliotufundisha sisi kusoma na kuandika. Unabisha hilo?

Pia ndio sababu nikasema sasa hivi kutokana na baadhi ya watoto wanaozaliwa kipindi hiki katika western countries (after having it soo easy) wameanza kujisahau hata ukikaa nao na kuongea nao unaona kabisa kichwani hamna kitu na wakiendelea hivyo huenda mtaji waliowaachia ancestors wao wakaanza kuupoteza (ingawa kama watakuwa carefully na kuendelea kutoa elimu kwa watu wao basi huenda hawatapata tabu sana)

Nadhani unachanganya mambo hapa. Majuu vitoto vina akili bana. Sasa wanaweza wasijue kuhusu Jiografia halafu wewe ukadhani kutokujua kwao uko kuhusu bara la Afrika au Asia, kwa mfano, ndiyo ujuha. La hasha. Ignorance (kutokujua kuhusu kitu fulani) na dumb (upumbavu) ni vitu viwili tofauti.

Nakubali kuwa watu wengi wa majuu hawajui sana kuhusu mambo mengi ya kidunia. Lakini kutokujua kwao huko hakumaanishi hawana akili na maarifa ya kuyatawala mazingira yao na kuyatatua matatizo yao. Sisi kwa upande mwingine akili na maarifa ya kuyatawala mazingira yetu na kuyatatua matatizo yetu hatuna. Unabisha?

Pia mfano mdogo kwa sasa fundi wa kawaida bongo (technician / repairman) utakuta kwamba ni mtundu kuliko (technician / repairman) ambae yupo nje yeye kitu kikialibika anatupa kwamba hakiwezi fanya kazi lakini mbongo atatafuta njia hata kukifunga na kamba za viatu na kitaendelea kufanya kazi siku atakapokitupa yaani mpaka ile skeleton yote iliyotoka kiwandani iwe imekwisha..

Hili mimi nakataa. Umeishi majuu kweli wewe? Tofauti ya mafundi au ma handyman wa majuu na wa bongo ni kwamba wa majuu ni wabunifu zaidi. Kitu kikiharibika atakichunguza zaidi ili aone ni jinsi gani atakavyoweza kukiboresha na kukiunda upya tena kilicho bora zaidi.

Sio kufunga funga na mikamba ya miviatu na kulazimisha kitu kisicho bora kuendelea kufanya kazi halafu unaona eti huo ndiyo ubunifu. Naongeza kingine katika vitu ambavyo hatuna (nimeshasema hatuna ingenuity na hatuko resourceful). Kingine ambacho hatuna ni innovation. Hatuko innovative kabisa na huo mfano wako wa fundi wa kibongo ni mzuri sana!

Mtu badala ya kufikiria jinsi ya kuboresha eti yeye anafikiria jinsi ya kukifanya kiendelee kufanya kazi kwa kuunga unga. Umenichekesha!
 
wazungu ni wavivu kiasili. Sasa katika kuona kuwa wanastarehe, wanajaribu kutumia akili zao kurahisisha karibu kila kitu. Angalia viti. Magari, remote, ndege, kompyuta, n.k. Yaani wanataka kufanya mambo yao kwa urahisi iwezekanavyo, sasa katika hilo wanatumia akili ya ziada kufikiria 'what if'. Sie ni watu wavivu pia ila tunapenda kutumia vilivyo tayari. Sasa tukubali tu maana kutumia akili kurahisisha maisha hatuwezi
 
Hivi we Raia fulan mtu utamuita mvivu kwa kuchukua hatua ya kulifanyia kazi jambo ambalo linamkera mpaka kupelekea kuwa mvumbuzi?
 
wazungu ni wavivu kiasili. Sasa katika kuona kuwa wanastarehe, wanajaribu kutumia akili zao kurahisisha karibu kila kitu. Angalia viti. Magari, remote, ndege, kompyuta, n.k. Yaani wanataka kufanya mambo yao kwa urahisi iwezekanavyo, sasa katika hilo wanatumia akili ya ziada kufikiria 'what if'. Sie ni watu wavivu pia ila tunapenda kutumia vilivyo tayari. Sasa tukubali tu maana kutumia akili kurahisisha maisha hatuwezi

Mkuu unajudge tofauti sana, haya unayoyaona sasa ni mwendelezo wa waliyoyagundua mwanzo, hiyo Computer ya mwanzo ilikuwa kubwa kama nyumba, lakini sasa zimekuwa ndogo mno

mimi kwa kiasi fulani nakubaliana na mdau anayesema ni mazingira ndio yanamfanya mtu aendelee kkwa kiasi gani,
chukua mfano wa Chupa tu,
kwa eneo kubwa la dunia chupa ilikuwa inaitajika kwa kuwekea vimiminika, sasa kwa Waafrika walikuwa hawana haja ya kutengeneza chupa za kioo (Kama wazungu) ama Kaolini (Kama wachina), kwa Afrika kuna vibuyu vya kila size na kila aina, kwa hiyo akili ya mwafrika haiwezi kufikiria kutengeneza chupa wakati vibuyu vipo!

wazungu wao wakazimodify chupa na kuzifanya za kila rangi na Waafrika pia walifinyanya vibuyu vyao kuwa vya kila rangi na kuweka arts za aina mbalimbali

watu na uwezo uko sawa, ni ile akili ya kitumwa ndio inatufanya tuwaone wazungu ni zaidi, lakini hayo yote wameyafikia kutokana na mazingira na shida zao
 
Sin uhakika kama nakubaliana na wewe hapo. Utamaduni na mazingira yanatokana na jamii husika. Sasa sisi kama mazingira yetu ni mabaya na tunajua ni mabaya na kila aina ya sababu ya kuyabadilisha tunayo lakini hatufanyi hivyo kwa vile hatuwezi, unalielezeaje hilo?

Mkuu uvumbuzi ni process ambayo ilianza zamani na jamii nzima inasaidia kutokana na tabia zao ndio maana nikakupa mfano wa Egypt na Irrigation.., hivi sasa hata nchi za nje sio kwamba watu individuals ndio wanavumbua vitu.., kuna thinktanks mpaka institutions ambazo zinatoa incentives za watu kuvumbua kitu kwamba wanaweza wakapata haki miliki (patent) kuweza kuuza sehemu na kuwa acknowledged its all about mfumo mzima (environment / culture n.k.)

Moja ya visingizio visivyo na mshiko. Nchi kibao za Afrika zina matatizo lukuki kuanzia ukame hadi magonjwa, kwa nini hatuvumbui chochote? Isn't necessity the mother of all (or most) inventions?
Mkuu matatizo gani ? umeme, magonjwa, ukame au nini hivi ni nani hivi sasa anagundua dawa za magonjwa au anasolve issue za umeme..? ni wazungu walikaa kitako kama nchi au wazo lilitoka kwenye institutions (au sababu ya rewards na kuna hati miliki watu waligungua kitu wakijua kwamba watakuwa rewarded) na sababu ya incentives utakuta wavumbuzi wengi wanakimbilia nchi kama Marekani sababu huko ndio kuna most rewards... utaona hapa kwamba tatizo kwa sasa Africa ni Bad System... Hakuna system in place,

mkuu ukame Africa ulianza lini ndio maana nikasema nchi zenye ukame zilivumbua irrigation (Egypt) wengine maji yalikuwepo.., pia hayo mambo ya uvumbuzi wa vitu kama umeme through wenzetu walianza mapema through education na sio kwamba wavumbuzi walitoka kijiji kimoja ni kwamba through institutions mtu mmoja anavumbua kitu anaachia sehemu mwingine anakuja pale mwenzake alipoachia anaendeleza mpaka mwisho wa siku kinapatikana kitu bora zaidi

Umbumbumbu wetu umeanzia tokea zamani. Tunaambiwa mababu zetu walikuwa hawajui kusoma wala kuandika na ndiyo maana walisaini mikataba mibovu. By inference hapo utaona kwamba ni wazungu (au ukipenda wakoloni) ndiyo waliotufundisha sisi kusoma na kuandika. Unabisha hilo?
Mkuu na hao walijufunza kusoma wapi au sababu wenzetu walikuwa wanatembea na kupata exposure waliweza kupata knowledge zaidi.? if am not mistaken Egyptians walikuwa wanasoma na kuandika.., na michoro kwenye caves hata ambazo zipo Bongo inaonyesha our for fathers used to know how to draw...

Alafu hio mikataba.... that is contract laws na sisi tulikuwa na sheria zetu za hapa hio mikataba ilikuwa null and void..., kwanini unamsainisha mtu mikataba kwa matakwa yako na sheria zako..., kwanini tuseme kwamba hio mikataba ilikuwa sahihi..., na kama kweli hio mikataba ilikuwa inafuatwa kwanini baadae waliamua kufanya mkutano wa kugawana Africa.... (lakini hapo utaona kwamba necessity ya wao kupata makoloni kuliwapelekea ku-invest kwenye silaha bora ili kukidhi matakwa yao (mazingira..)

Nadhani unachanganya mambo hapa. Majuu vitoto vina akili bana. Sasa wanaweza wasijue kuhusu Jiografia halafu wewe ukadhani kutokujua kwao uko kuhusu bara la Afrika au Asia, kwa mfano, ndiyo ujuha. La hasha. Ignorance (kutokujua kuhusu kitu fulani) na dumb (upumbavu) ni vitu viwili tofauti.
Mkuu ndio hapo ninapoongelea its all about intelligence..., na hivi sasa utajua kwamba vitu vingi ni acquired knowledge (unavyofundishwa..) sasa kama mtoto wa kiafrica anafundishwa na kukariri na kusoma vitu ambavyo havijui (na kusomea kushinda mtihani..) what do you expect... (education system kama ni mbovu product itakuwa mbovu..) ila ni kwamba nyote mkikaa na the same teacher, the same everything mna the same chance ya the same outcomes..., ila sababu ya wao kuzoea spoon feeding ukienda huko na kukutana nao sasa hivi kuna a better chance kwamba utawakimbiza kutokana na wewe kuzoea kupata materials kwa shida... (ukiweza kufanikiwa kwenye system mbovu kama hii basi ukipata system bora..., the sky is the limit.)

Nakubali kuwa watu wengi wa majuu hawajui sana kuhusu mambo mengi ya kidunia. Lakini kutokujua kwao huko hakumaanishi hawana akili na maarifa ya kuyatawala mazingira yao na kuyatatua matatizo yao. Sisi kwa upande mwingine akili na maarifa ya kuyatawala mazingira yetu na kuyatatua matatizo yetu hatuna. Unabisha?
Mkuu mazingira gani hayo sasa hivi wenzetu kuna system in place everything is organised kwa kupiga hatua kabla yetu, miji kama Belgium ilishajengwa zamani (kutumia mtaji wa watu na mali za sehemu kama Congo..) hivyo basi mazingira ya huko kwa hivi sasa yanaendeshwa na machinery ambayo ipo already in place..., mambo yanakwenza kama clock work..., individuals majority ni kuwajibika tu na kufanya kazi zao kwenye kazi za kila siku..., no intelligence needed just leading a normal life like me and you..., ila tofauti yao na yetu wewe leo ukipata idea ya kutengeneza mashine fulani ni vigumu kupata msaada au sehemu ya kupeleka idea yako na mwisho wa siku unaweza ukaibiwa wakati wenzetu ni rahisi kupata msaada na kupata faida ya kazi yao waliyofanya

Hili mimi nakataa. Umeishi majuu kweli wewe? Tofauti ya mafundi au ma handyman wa majuu na wa bongo ni kwamba wa majuu ni wabunifu zaidi. Kitu kikiharibika atakichunguza zaidi ili aone ni jinsi gani atakavyoweza kukiboresha na kukiunda upya tena kilicho bora zaidi.

Mkuu ubunifu gani huo..?? lazima ujue kwamba hawa technicians siku hizi wanachofanya kitu kikiharibika wananunua spear na kupachika tena kila mashine ina technical manual ambapo kila kitu kimeandikwa A, B, C ukimpelekea mashine mbovu anachukua spea hapa na kuweka pale na hizi spea zipo readily available (wakati huku unakuta hata spea nyingi hazipo) inabidi mtu awe mbunifu kwa kutumia available things kuweza kufanya mashine ifanye kazi...(handy man wa majuu akija bongo he can not survive...)

Hayo mambo ya ubunifu siku hizi mengi hayapo kwa individuals (the Eureka moments don't happen as much as before...) kuna institutions nyingi zinazo-brainstorm mambo na kuna scientists and researchers (all over the world) wanalipwa kufanya research takes time does not normally happen by accident alafu hata zile zinazohappen by chance sio nyingi (ingawa zipo pia..)

Sio kufunga funga na mikamba ya miviatu na kulazimisha kitu kisicho bora kuendelea kufanya kazi halafu unaona eti huo ndiyo ubunifu. Naongeza kingine katika vitu ambavyo hatuna (nimeshasema hatuna ingenuity na hatuko resourceful). Kingine ambacho hatuna ni innovation. Hatuko innovative kabisa na huo mfano wako wa fundi wa kibongo ni mzuri sana!

Mkuu innovation sasa hivi inafanywa na big corporations na sio individuals handyman hata huko Ulaya (tofauti ya huku na kule ni kwamba kwa sasa hata individual akiwa na wazo ni rahisi kwenda kwenye kampuni fulani na kuuza idea na wakaiendeleza na yeye akapa acknowledgement easier kuliko huku..., Mkuu this companys invest every year money and time..., pia wanavuna watu kutoka big universities all over the world ili waweze kuwasaidia kwenye quest yao.... (hakuna short cuts na wanafanya investment in people..)

Tofauti huku ni kwamba hatuna big companies wala opportunities za kutumia rasilimali watu.., na hata kama mtu akipatikana hapa akawa na potential ni kwamba atakimbilia western countries kwenye opportunities.. fundi wa bongo (handyman atatumia resources at hand kuweza kusuma siku., fundi wa ulaya resources za kubadilisha spea ni nyingi na sababu ya mass production sometimes hakuna hata haja ya kufanya repairs ukimpelekea kitu anaona ni bora kukitupa na kuchukua kipya.

Mtu badala ya kufikiria jinsi ya kuboresha eti yeye anafikiria jinsi ya kukifanya kiendelee kufanya kazi kwa kuunga unga. Umenichekesha!

Mkuu kuboresha huko anakofanya handyman wa ulaya ni kipi...? nimekupa mfano hapo juu ya investment.., system in place, mfano wa Japan na Total Quality Management na Quality Cycles ni kwamba watu walikuwa wanakaa na kubrainstorm kila mara na kuona ni nini kifanyike ili kuboresha not individuals handymen..., alafu tofauti ya kule ni kwamba hata individual akiwa na idea ni rahisi ku-raise funds na kupata patent na kuuzia kampuni na kupata pesa...,
 
Kama ugumu wa mazingira ni chanzo cha maendeleo wa Afrika tungekua mbali sana kimaendeleo. Kwa sababu over the past 200 years mazingira yetu yamekua magumu ukilinganisha na wazungu, sasa kwanini hatutafuti ufumbuzi tena ndio tunazidi gandamizwa?
Sisi sub saharan Africans ndio the only race ambao hatuna maandishi yetu wenyewe, na maandishi ni A MAJOR AND CRUCIAL TOOL in development kwasbabu ndio inatumika kuenezea ujuzi. Wachina wanyo, waarabu, wahindi, wazungu, wamalaysia e.t.c. kasoro sisi tu! Na bado mnafikiri tuko sawa kwa ujumla wetu.
Kwa yule aliyesema nikienda nje ntawa kimbiza nakubaliana nae. Kindergaten mpaka la 2 nilisoma New Zealand, niliwakimbiza, form 2 mpaka A-level nilisoma Australia, niliwakimbiza, 1st degree nimesoma Australia and I still was among la creme. But this doesn't disprove the obvious!!!!
As a people they are better thinkers, better problem solvers and better at living!!
Tulikua tunakaa nyumba moja nzuri tu, tukapangisha mzungu after 3 years kuja kuangalia furniture, garden na setting tukahamia wenyewe tena. Wether we have maintained the standards or not is a matter of debate. hehehehe!
 
Mkuu mazoea hujenga tabia.., kama watu tumezoea kuishi katika uchafu na kutokujali basi watoto nao watakulia katika mazingira hayo hayo kuhusu hayo mambo kwamba kwanini wenyewe wanaendelea vizuri (its just a system in place inawafanya waendelee na kutumia ubongo wao)

Kuhusu mambo mengine ya ufisadi na kufilisi mali ya umma extended families pia zinachangia mtu anafuja mali ili hadi wajomba, makaka na mashangazi wanufaike wenzetu hawana extended families kwahiyo hakuna umuhimu sana wa kufuja zaidi...

Kwahiyo uchafu na tabia mbovu its all to do with culture..., (kutokuvumbua vitu) ni systems mbovu za africa ambazo hazitupi chance wala incentives za uvumbuzi..., alafu when am talking about mazingira ni kwamba our ancestors had it easy compared to their ancestors
 
Back
Top Bottom