Wazungu na waafrika

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,084
17,751
Nimejaribu kujiuliza maswali mengi sana juu ya utofauti kati yetu WAAFRIKA NA WAZUNGU(yaani na white people)kama ilivyozoeleka na wengi.HAWA JAMAA UKIWACHUNGUZA UTAGUNDUA WANAONGOZA KWA VITU VIZURI VYOTE kama elimu,afya,utajiri kitaifa,na hata uzuri n.k NA SISI TUNAWAONGOZA KWA VITU VIBAYA KARIBIA VYOTE mfano maradhi,ujinga,kuwa nyuma kimaendeleo n.k Sasa swali linakuja.UKICHUNGUZA BRAIN STRUCTURE TUPO SAWA ndo nabaki najiuliza WANATUPITIA WAPI Mpaka sisi daima tuwe nyuma yao kila siku?Great thinker karibun mniweke sawa hapo.ASANTENI
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
20,593
43,442
Hawapendi shida ndo maana wanabidii ya kutafuta solution ya matatizo.Si unaona walivyosafiri kuja africa kutafuta raw materials
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,331
Mkuu sio kweli kwamba wana kila kitu kizuri lakini environment (mazingira yanachangia mambo mengi sana)

Mfano Africa tumekuwa na bahati sana ya raw materials nyingi kuanzia zamani (hii imepelekea kubweteka sababu kila kitu kipo) wakati wenzetu kwa kupigana na mazingira imewafanya kuchangamka..

Masuala ya uzuri sio kweli kabisa (hii ni opinion ya mtu) tena wengine wanaona kwamba waafrika ndio wazuri zaidi.., pia hata ukiona kwenye nyanja za michezo pia waafrica wame-excel zaidi.

Kuhusu mambo ya ufisadi na corruption sababu kubwa ni kwamba Africa wengi tuna extended families (ukipata vijisenti hadi jirani ya jirani yako ya jirani yako lazima umkumbuke..) tofauti na wenzao wenyewe kila mtu kivyake hata watoto wakikuwa wakubwa wanaondoka na mzee anaweza kwenda kwenye care home (hapo utaona hawana incentive ya kujilimbikizia mali..)

Hivyo basi utaona its nothing to do with skin colour bali mazingira yanayomzunguka binadamu ndiyo yanamtengeneza binadamu huyo.
 
Mghoshingwa

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
305
73
Ni wakweli, hawana unafiki, wanafanya kaz kwa bidii, wana tafuta fursa na kuzitumia vilivyo! Japo wenyewe jwa wenyewe hawapendan kiivyo!
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
hivo ndivo wanataka uamini ila sio kweli. until 1700 africa na ulaya hapakua na tofauti hata sisi tulikua na great empires ila utumwa na colonisation vikaturudisha nyuma na namna dunia leo imekua ikipelekwa inakua vigumu sana kwa nchi au continent kujiinua tena. ila kama akili tuna akili sawa tu. mwfrica akienda ulaya apewe exposure atafanya sawa na mzungu
 
Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,148
1,692
Mkuu sio kweli kwamba wana kila kitu kizuri lakini environment (mazingira yanachangia mambo mengi sana)

Mfano Africa tumekuwa na bahati sana ya raw materials nyingi kuanzia zamani (hii imepelekea kubweteka sababu kila kitu kipo) wakati wenzetu kwa kupigana na mazingira imewafanya kuchangamka..

Masuala ya uzuri sio kweli kabisa (hii ni opinion ya mtu) tena wengine wanaona kwamba waafrika ndio wazuri zaidi.., pia hata ukiona kwenye nyanja za michezo pia waafrica wame-excel zaidi.

Kuhusu mambo ya ufisadi na corruption sababu kubwa ni kwamba Africa wengi tuna extended families (ukipata vijisenti hadi jirani ya jirani yako ya jirani yako lazima umkumbuke..) tofauti na wenzao wenyewe kila mtu kivyake hata watoto wakikuwa wakubwa wanaondoka na mzee anaweza kwenda kwenye care home (hapo utaona hawana incentive ya kujilimbikizia mali..)

Hivyo basi utaona its nothing to do with skin colour bali mazingira yanayomzunguka binadamu ndiyo yanamtengeneza binadamu huyo.

Mkuu is your reasoning from Guns, Germs and Steel au the Wealth of Nations? Swala la kua environment yetu imesababisha tubweteke mimi sikubaliani nalo. Infact mimi naamini ingebidi tupige hatua zaidi kuliko hao waliokua na limited resources.
I am as proud an African as any African can be LAKINI lazma tukubali these people are more intelligent than us as a whole. Yani kwa ujumla wao wana akili kuliko sisi. Kukataa hilo ni kujidanganya.
Hapa napoishi huwa najiuliza kila nikirudi home. Mtaa wangu ni mrefu una nyumba 19, ukipita nje ya hizi nyumba unajua ipi ya mzungu, ipi ya mswahili msomi na ipi ya mwenzangu na mimi. Just fromappearance.....
Ntaendelea baadae, it's an intersting topic
 
Tafadhali endelea please maana umeonesha kuumizwa sawa na mimi kwenye mfano wa nyumba za mtaani kwenu kupishana.
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,927
1,777
Yap bro!umeandika the same brain structure?cant you think kwamba we differ in thoughts?wenzetu walianza kusoma enzi za kina washington vyuo vilikuwepo wakati waafrica tukiwa tunaish porini,kula matunda,mizizi,nyama e.t.c.wapo intelligent we have to agree,they are smarter than us bro.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,331
Mkuu is your reasoning from Guns, Germs and Steel au the Wealth of Nations? Swala la kua environment yetu imesababisha tubweteke mimi sikubaliani nalo. Infact mimi naamini ingebidi tupige hatua zaidi kuliko hao waliokua na limited resources.
I am as proud an African as any African can be LAKINI lazma tukubali these people are more intelligent than us as a whole. Yani kwa ujumla wao wana akili kuliko sisi. Kukataa hilo ni kujidanganya.
Hapa napoishi huwa najiuliza kila nikirudi home. Mtaa wangu ni mrefu una nyumba 19, ukipita nje ya hizi nyumba unajua ipi ya mzungu, ipi ya mswahili msomi na ipi ya mwenzangu na mimi. Just fromappearance.....
Ntaendelea baadae, it's an intersting topic

Mkuu akili ni kama muscles (misuli) ukifanya mazoezi sana na yenyewe inakuwa.., hivyo basi ubongo wa binadamu wote ni sawa (ingawa kuna tofauti kati ya wanawake na wanaume katika upande upi wa ubongo wanaoutumia zaidi kuliko mwingine) lakini hakuna tofauti katika rangi ya mtu na ubongo wa mtu..

Hivyo basi kutokana na shida, malezi na tunavyokua katika mazingira tofauti kuna uhusiano mkubwa na fikra zetu, na lazima ujue kwamba unapopata shida inabidi ufikilie zaidi jinsi ya kutatua shida fulani hivyo kutumia ubongo wako zaidi.., ukikulia kwenye baridi kali utapiga akili jinsi gani unaweza kupata joto (alafu kumbuka uvumbuzi mwingi ulifanyika miaka ya zamani kwa watu kupambana na mazingira yao).., vile vile tunaweza tukasema watu wa Egypt na Pyramids, umwagiliaji, kuandika n.k. hawa watu walikuwa na akili sana, kutokana na kupambana na mazingira (problems makes you find solutions..)

Utakuta kwamba sisi tangia enzi na enzi vyakula vinajiotea kwahiyo mtu unaishi tu hakuna sababu ya kusumbua kichwa; pili kutokana na malezi utakuta kwamba ndivyo na watoto wanavyokua (sio accident kwamba wahindi wengi au wachagga ni wafanyabiashara, au wamasai ni walinzi.., ni kwamba ndivyo wanavyokua na malezi yao yanawafanya wawe hivyo..)

Culture / utamaduni.. (the way we do things) inachangia sana katika maisha ya kila siku ya jamii..., hivyo basi jamii kama ni wavivu, wachafu na mna fikra za kichawi ni vigumu sana kubadilika na kama mkianza kubadilika inachukua muda mrefu sana (sio kwamba akili zenu hazina uwezo wa kubadilika bali ni kwamba hamtumii akili zenu ipasavyo..)

Hata hao wazungu (mfano UK) walikuwa Great miaka hiyo ya huko nyuma hivi sasa kutokana na malezi ya ajabu ya watoto wengi UK wengi wana akili za ajabu na wanaanza kubweteka na kuwa wavivu watu wa Great Britain wa kipindi cha kina Faraday na Isack Newton ni tofauti kabisa na uchafu uliopo sasa Great Britain.., hii inaonyesha kwamba environment inachangia sana (ingawa wenzetu bado wanazo opportunity za kuelimika kama wanataka.) Tena utashangaa unaweza kwenda nje ukawakimbiza sana baadhi ya hao so called intelligent (sababu wamezoea spoon feeding) ingawa kutokana na elimu yao ilivyo na wanavyofundishwa kwenye reasoning ndio wanaweza wakakuacha kidogo
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,740
104,888
hivo ndivo wanataka uamini ila sio kweli. until 1700 africa na ulaya hapakua na tofauti hata sisi tulikua na great empires ila utumwa na colonisation vikaturudisha nyuma na namna dunia leo imekua ikipelekwa inakua vigumu sana kwa nchi au continent kujiinua tena. ila kama akili tuna akili sawa tu. mwfrica akienda ulaya apewe exposure atafanya sawa na mzungu

Wewe ulikuwepo kipindi hicho hadi useme Ulaya na Afrika hazikuwa tofauti?

Na kama mabara hayo mawili yalikuwa katika level moja iweje moja likatokea kulitawala lingine?

Iweje moja liende kwa lingine na kuchukua watumwa wa kuwatumikisha?

Kwa nini haikutokea Afrika au Waafrika ndiyo waende Ulaya na kuchukua watumwa wa Kizungu?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,740
104,888
Wazungu wana ingenuity na wako resourceful zaidi kutuzidi sisi watu weusi. Huo ndiyo ukweli wenyewe hata mkikataa.
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,084
17,751
Yap bro!umeandika the same brain structure?cant you think kwamba we differ in thoughts?wenzetu walianza kusoma enzi za kina washington vyuo vilikuwepo wakati waafrica tukiwa tunaish porini,kula matunda,mizizi,nyama e.t.c.wapo intelligent we have to agree,they are smarter than us bro.

swali linakuja hivyo vyuo aliwajengea nani kama jibu ni wao sisi kipi kilituzuia kuvijenga?
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,084
17,751
Wewe ulikuwepo kipindi hicho hadi useme Ulaya na Afrika hazikuwa tofauti?

Na kama mabara hayo mawili yalikuwa katika level moja iweje moja likatokea kulitawala lingine?

Iweje moja liende kwa lingine na kuchukua watumwa wa kuwatumikisha?

Kwa nini haikutokea Afrika au Waafrika ndiyo waende Ulaya na kuchukua watumwa wa Kizungu?

tupo pamoja kaka kwenye maswali yako yenye hekima.
 
gmosha48

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,399
1,469
Mkuu sio kweli kwamba wana kila kitu kizuri lakini environment (mazingira yanachangia mambo mengi sana)

Mfano Africa tumekuwa na bahati sana ya raw materials nyingi kuanzia zamani (hii imepelekea kubweteka sababu kila kitu kipo) wakati wenzetu kwa kupigana na mazingira imewafanya kuchangamka..

Masuala ya uzuri sio kweli kabisa (hii ni opinion ya mtu) tena wengine wanaona kwamba waafrika ndio wazuri zaidi.., pia hata ukiona kwenye nyanja za michezo pia waafrica wame-excel zaidi.

Kuhusu mambo ya ufisadi na corruption sababu kubwa ni kwamba Africa wengi tuna extended families (ukipata vijisenti hadi jirani ya jirani yako ya jirani yako lazima umkumbuke..) tofauti na wenzao wenyewe kila mtu kivyake hata watoto wakikuwa wakubwa wanaondoka na mzee anaweza kwenda kwenye care home (hapo utaona hawana incentive ya kujilimbikizia mali..)

Hivyo basi utaona its nothing to do with skin colour bali mazingira yanayomzunguka binadamu ndiyo yanamtengeneza binadamu huyo.

Mkuu, hapo kwenye Red nimekusoma sana. Tafsiri yangu: Kwa kuwa waafrika tumeamua kuyaharibu mazingira yetu kwa kiwango cha kutisha; basi hali yetu katika mambo mengi yana shabihiana na mazingira yetu mbofu mbofu.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,331
Wazungu wana ingenuity na wako resourceful zaidi kutuzidi sisi watu weusi. Huo ndiyo ukweli wenyewe hata mkikataa.
Ndio maana nikasema it has got nothing to do with skin color bali mazingira na culture za watu..., leo hii ukichukua watoto wa mataifa tofauti na kuwaweka kwenye nchi moja na mzazi mmoja utaona on average watakuwa na tabia za kufanana pia intelligence yao itakuwa on average haina tofauti sana na haina uhusiano na taifa walilotoka...,

Ndio maana nikasema hata baada ya mazingira kuwabana watu wa Egypt enzi hizo walijikuta wanavumbua umwagiliaji ili kuweza kuishi, wakati sehemu nyingine watu walikuwa na bahati ya kuwa na ziwa (maji) jirani hivyo hakuna sababu ya kusumbua kichwa.

Alafu kumbuka hii ni vicious cycle kama jamii yenu ni mbumbumbu basi kuna uwezekano mkubwa hata watoto wakawa hivyo kutokana na malezi. Pia ndio sababu nikasema sasa hivi kutokana na baadhi ya watoto wanaozaliwa kipindi hiki katika western countries (after having it soo easy) wameanza kujisahau hata ukikaa nao na kuongea nao unaona kabisa kichwani hamna kitu na wakiendelea hivyo huenda mtaji waliowaachia ancestors wao wakaanza kuupoteza (ingawa kama watakuwa carefully na kuendelea kutoa elimu kwa watu wao basi huenda hawatapata tabu sana)

Pia mfano mdogo kwa sasa fundi wa kawaida bongo (technician / repairman) utakuta kwamba ni mtundu kuliko (technician / repairman) ambae yupo nje yeye kitu kikialibika anatupa kwamba hakiwezi fanya kazi lakini mbongo atatafuta njia hata kukifunga na kamba za viatu na kitaendelea kufanya kazi siku atakapokitupa yaani mpaka ile skeleton yote iliyotoka kiwandani iwe imekwisha..
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,331
[/COLOR]
Mkuu, hapo kwenye Red nimekusoma sana. Tafsiri yangu: Kwa kuwa waafrika tumeamua kuyaharibu mazingira yetu kwa kiwango cha kutisha; basi hali yetu katika mambo mengi yana shabihiana na mazingira yetu mbofu mbofu.

Mkuu ninamaanisha yaani kutokana kwanza na nchi kuwa tajiri kuanzia weather mpaka utajiri wa nchi (raw materials ) kulianza kupelekea kubweteka kwa ancestors wetu.., na baada ya hapo (mazingira ) yaani jamii inayotuzunguka kutoka na fikra za aina fulani basi hata wajukuu na watoto wetu wanakuwa affected na hizo fikra (just imagine kama mbeya sasa hivi watu wanapigana nondo kwa imani za kichawi na kuamini kwamba zinaleta utajiri) unadhani mtoto atakaekuwa kwenye hayo mazingira atakuwa na fikra gani ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom